muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Kuna muda itakubidi upitie shortcut ili mambo yako yaende

    Imenibidi kuandika huu uzi ili kubadililishana ujuzi wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye hili life Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia mchongo kwenye kampuni fulani. Ilifikia hatua nimepata huo mchongo lakini nilihitajika kupeleka license ya udereva,ndani ya week moja niwe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Barrick kusitisha kwa muda shughuli za uchimbaji madini nchini Mali

    Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali. Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Je mitungu ya gesi Ina expire? Na kama ni hivyo ni kwa muda gana na wapi huandikwa tarehe husika na nani anawajibika kutujuza juu Hilo?

    Tangu nitumie mitungi ya gesi sijawahi ona expire date kwenye mitungi hiyo je nani anawajibika ? Nimeona mtu kaandika huko Instagram hivi Hapa alimaanisha mitungi sio majiko na kama ni hivyo haya majiko yana exipiredate wapi. Sababu kinacho lipuka ni mitungi wenye gas, nadhani labda mipira...
  5. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

    Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA. Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Watanganyika,Huwa tunafanya kazi za kuzalisha na kulipa Kodi muda upi!

    Nimeuliza TU!
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
  8. D

    JamiiForums Tanzania EACLC Ubungo inafunguliwa lini? Muda unasogea tu, watu tunataka huduma

    I WILL BE SHORT Wengi tunasubiria hii complex ifunguliwe , naona tarehe inasogea , it was december , naona now kimya ?? When are they planning on opening this complex ,watu tufungue biashara mikoani , kariakoo kumekuwa kubaya sana , whole sale business imekufa . Kariakoo imejaa mawinga , no...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

    Heshima sana wanajamvi. Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3% Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa. Ngongo kwasasa Mikocheni.
  10. smigo_

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe alikuwa na haraka ya nini kulipa 250m badala 50m aliyopangiwa wakati tupo ndani ya muda. Ni rushwa arudishiwe.

    Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima tutaambiwa tuongeze kama kuna baadhi ya wachangiaji hawatatoa. Hata kauli ya Wenje kumtanhgaza Lissu...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuwe na utaratibu wa kuziweka wazi taarifa kificho muda unapofika

    Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi.. Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani Huitwa...
  15. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

    Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika Nimeishia kucheka tu
  16. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

    Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo. Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  19. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
Back
Top Bottom