MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa...
https://www.youtube.com/watch?v=lWxel_pUiVk
Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mtu huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii.
Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi...
Wakati upo busy na Jambo fulani na wenzako wapo kukusaidia kwenye Jambo jingine
Wengine watagongwewa kwenye vitanda na masofa ya waume zao
Inaumiza Sana sema kataa ndoa uwa Wana hoja sometime!!
Naiombea ushindi Simba ubaya ubwera uzalendo kwanza !!
Kwamba hata iweje!
Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote.
"Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote."
Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama...
MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU-1
Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu.
Leo nataka nikupe mbinu kadhaa za kukusaidia kuomba vizuri na kwa muda mrefu.
Hakikisha Unafuatilia somo hili Hadi mwisho na Mungu atakuinua viwango vingine kimaombi.
Ni muhimu sana kwa mwana...
Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006.
Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu sikuwahi kukutwa kwenye jopo la waliokosa namba za saa Kumi na mbili na nusu.
Nilipofika elimu ya juu ya...
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!
Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii...
Ukipokea pesa ndefu kutoka nje ya nchi like USA as a remmittance money mfano 100+million TSh .
Inaweza chukua muda gani hadi account wakaiban ?
Je mtu anaweza fanya someexpenditure kabla hawajaiban?
Je unaweza kuspend like 20m then ukareport account?
😁😁
Msije sema bangi wakuu lete...
Wakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi.
Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa...
Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia
Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
I have powers to the extent nikiingia kwenye machimbo yangu huko kwenye ulimwengu uliojificha basi nikija kutoka WATANZANIA watakatika na viu vyao vya muda mrefu (for my powers I can quench the unquenched thirsty of Tanzanians)
Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani
Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
Mko poa watu wa Mungu!
Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida?
Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
Haijalishi ni used au bikra
Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu.
Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini.
Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa.
Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani...
Kama Hutumii Canva upo nyuma ya Muda.
Kama hujui kutumia Canva upo nyuma ya Muda.
Muonekano wa kazi zako ndo unaleta utofauti kati yako na wateja wako.
Unauza bidhaa, unatoa huduma, au una brand.
Kuwa na designs nzuri za kazi zako ni muhimu sana.
Ninatumia Canva kutoa huduma zangu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.