muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  3. JamiiForums Tanzania Israel yasema Ayatollah atauawa muda wowote

    Kwamba kifo cha huyo mzee na lile gauni lake kinaweza kutendeka.... An Israeli official told the Wall Street Journal on Saturday that Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei is "not off-limits" in Israel's ongoing efforts to dismantle Iran's nuclear program. This statement underscores Israel's...
  4. JamiiForums Tanzania Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  5. JamiiForums Tanzania Matukio yote Duniani Yanayofadhiliwa na Marekani ni Ajenda Iliyopangwa Muda Mrefu

    Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani. Ulaya yote hakuna anayekoroma pale ambapo Marekani anatoa maelekezo yake kuhusu Dunia, zaidi ya kuwa watu wa Ulaya ni...
  6. JamiiForums Tanzania Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni muda Sasa serikali iachie mipaka Wakenya waendelee kutuletea vifaranga. Wazalishaji wa Tanzania wamelala mno

    Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga. Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu! Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao. Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza na kuwauliza kwahiyo lini nitapata mzigo !? Company nyingi zipo kitapeli na uhuni mwingi wanajari...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

    Wadau hamjamboni nyote. Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, kufuatia shambulio kubwa la Israel dhidi ya nchi hiyo. "Saa chache zilizopita, mlipuko mkubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Israel imekuwa ikiimezea/itamani Iran muda mrefu sana. So whatever inachofanya sasa ilishajiandaa na kupiga hesabu

    Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sheli ya hapa dampo Arusha inaungua muda huu

    Habari, naona moshi mzito kama kule Gaza nikiwa umbali wa kilomita 1 nikapiga simu kuuliza kumbe ni sheli ya hapa dampo inaungua Kama kuna aliyeko kwenye eneo hilo tunaomba atuhabarishe kwa picha za karibu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  13. JamiiForums Tanzania Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

    Aina ya Gari ni Toyota Premio Body uya gari ipo fresh kabisa Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa. Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
  15. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  16. JamiiForums Tanzania Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

    Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Naamini muda sio mwingi Israel ataishambukia Iran ni baada ya kukataa ushauri wa US, Sababu , Nia na uwezo wanao

    Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
  18. JamiiForums Tanzania Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Migogoro inayoendelea nchini inatupeleka pabaya

    https://www.youtube.com/watch?v=iuttjJJLxG0 Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi. Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro...
  20. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanajiandaa kumpokea Mnyika muda wowote kuanzia sasa? Wenye za ndani watufahamishe

    Kuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…