Nipo saiti nasimamia wasiniibie cement mkuu 😃Sasa si usogee utupigie picha kwa karibu habari ikamilike
Bima kaziniSijui mmiliki yupo kwenye hali gani. Haya mambo yasikie tu
Aliongea Prof. pale Mikocheni wahuni kama kawaida yao wakaangukia kusema 'uhaya'.Hii sheria ya vituo vya mafuta visijengwe karibu na makazi inapuuzwa sana.
Mazoea yana tabu mkuuHiyo ni Shell au kituo cha kujazia mafuta?
Inasikitisha sanaAliongea Prof. pale Mikocheni wahuni kama kawaida yao wakaangukia kusema 'uhaya'.
Tumeamua kuishi maisha ambayo kanuni na utaalamu unaupwa kule, kama ni elimu nunua tu vyeti!