muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  3. JamiiForums Tanzania Kuna muda usiteseke kuna vitu unaweza kuhama au kuachana navyo tuu

    Kuna muda usiutese moyo kitu kama dini sijui kabila au team unaweza kuhama na maisha yakaendelea poa tuu Ni ushauri tuu Muwe na jioni njema
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko ya muda mrefu, Barabara ya Kivule yaanza kurekebishwa

    Njia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja. Hii barabara kwa muda mrefu imekuwa ikitupa tabu sana wananchi hasa wakazi wa maeneno ya Banana hadi Kivule, ilikuwa haifai...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  6. JamiiForums Tanzania TRUMP Atangaza kusimamishwa kwa muda wa saa 12 vita Israel na Iran. - Baada ya Masaa sita yajayo war will stop

    Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

  8. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuthibitishwa Kazini?

    Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
  9. JamiiForums Tanzania Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mama unanukia; muda wa kupata uteuzi na utenguzu huu hapa. Je utakumbukwa? Wangapi kuondoshwa?

    Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge. Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine. Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  13. JamiiForums Tanzania JAB: Hakuna muda wa nyongeza usajili waandishi

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imesema haitatoa muda wa nyongeza kwa waandishi wa habari kujisajili,na kwamba kufanya kazi za kihabari bila usajili ni kosa kisheria. Kaul hii imebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Patrick Kipangula, ambapo amesema kuwa baada ya muda...
  14. JamiiForums Tanzania Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

    Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
  16. JamiiForums Tanzania Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

    Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT) An evacuation has been issued to...
  17. JamiiForums Tanzania Masikini Iran muda wowote kuanzia sasa Marekani naye ataingia kumtwanga rasmi na hatimaye Ayatollah kumkuta ya Saddam Hussein

    Hii si ndoto ni kweli, Iran ndo mwisho wake huu... Anasikitisha, Usa anaingia rasmi.. Iran kilichobaki ni kukimbia tu
  18. JamiiForums Tanzania Tungojee kutangazwa kifo cha Ayatollah Ali Khamenei muda wowote?

    Ukiwasikiliza vizuri Donald Trump na Benjamin Netanyahu, kuna mchezo unafanyika ili kuiahadaa dunia na Iran. Netanyahu anasema lazima aangushe utawala wa kiimla wa Iran. Trump anasema amemzuia. Kwa wenye akili, hii ni ishara kuwa kuna kitu wanapanga. Kwanza, wawili hawa hawaaminiki. Pili...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…