MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Mtakuwa mmesahau!
1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake.
2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa.
3. Serikali...
Taifa limechoka liko hoi
Tanganyika iko hoi
Wananchi wamechoka
Waliojiteua wamechoka
Walioua wamechoka
Waliopoteza ndugu zao wamechoka
Waliotoa amri za shoot to kill wamechoka wako hoi hasa
Gen Z wamechoka
Chawa wamechoka
Wezi wamechoka
Mafisadi yamechoka
Wafungwa wamechoka
Wafunga wamechoka...
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?
Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!
Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?
Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani.
Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within...
Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa:
"Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni...
Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao.
Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
Hamjambo!
1. Kuna mambo yanafurahisha Sana nchi hii.
2. Wapo watu waliokuwa wafuasi wa Mwandambo Mzee wa nachoka kabisa.
3. Kuna watu ni wafanya vichekesho, vituko, content creator. Sasa ni kosa kubwa kushindwa kuwatofautisha na wapigania Haki.
4. Kwani utajikuta unadandia mitumbwi ya...
Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha.
Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana.
Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
Katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, mara nyingi dhana ya mtaji imekuwa ikitafsiriwa kama fedha taslimu au rasilimali zinazoonekana pekee. Hata hivyo, ukweli uliojificha ni kwamba muda ndio mtaji wa msingi na wa kipekee kuliko rasilimali nyingine yoyote...
Wakuu.
Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika.
Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri.
Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
Mwaka 2006 ni kama juzi tu wakuu. Ila ndio miaka 20 imepita,haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea 2006 na sasa yana miaka 20.
Juma Akukweti akiwa Waziri anafariki baada ya kuanguka na ndege huko Mbeya baada ya kuwasagia kunguni wafanyabiashara ndogondogo.
Ubungo mataa kunapigwa tukio la...
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!
Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa...
Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...