I have powers to the extent nikiingia kwenye machimbo yangu huko kwenye ulimwengu uliojificha basi nikija kutoka WATANZANIA watakatika na viu vyao vya muda mrefu (for my powers I can quench the unquenched thirsty of Tanzanians)
Happa ndipo tunaona umuhimu wa kuwa na strong independent Judiciary, Bunge and other governing institions to be independent of the executive.
Kwa mwendo wa trump, huyu ni dictator wa kutupwa kms wa hapa kwetu
Most Americans Describe Donald Trump as 'Dangerous Dictator'—New Poll
Published May...
Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
Siku hizi, likes, views, na followers zimekuwa kama vipimo vya thamani ya mtu. Unapigwa selfie moja kali, unaweka filter, unachapa caption yenye vibes, na boom! 💥 Unapata likes mia tano kwa muda wa dakika chache! 🎉
Lakini hebu fikiria… ni bora kuwa na ‘likes’ nyingi au kuwa na mahusiano halisi...
Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu
Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake
https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
Habarini wandugu,
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi.
unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule.
Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
ugonile,
Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k
Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much
Bill Lugano aka...
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
Kwa kadri ya uelewa wangu na ufuatiliaji wa matukio kule Gaza nimegundua kuwa yanayoendelea Gaza ni makubwa lakini yanatendeka kukiwa na upungufu wa mtu muhimu tangu mwanzo wa vita katika eneo hilo vilivyoanza mwezi oktoba mwaka 2023.
Mtu huyo ni waziri mkuu wa nchi hiyo hasimu kwa...
Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka.
Jamaa alikua anatunga...
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
WanaJF,
Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa zaidi ya miaka 30 sasa yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa basi ameona aungane nao wakati huu...
📖Mhadhara (76)✍️
Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo.
Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa
Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.