Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe
Amesema...
Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema
Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense).
Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu...
Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio.
Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua.
Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
Siku ya leo ni nzuri sana, kwasababu sehemu nyingi nilizotembelea zilinishangaza na kunifanya nikodoe macho hadi kukaribia kutoka. Mvuto wa sehemu hizo utaendelea kubaki mawazoni mwangu kwa muda mrefu sana. Kama kawaida ikiwa ni siku nyingine katika mfululizo wa matembezi yangu katika Mkoa...
Katika mchango wake bungeni mh. Nape Nnauye ameshauri itungwe sheria inayoweka ukomo wa kukaimu.
Jambo hili nikweli bora litungiwe sheria ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi,uwajibikaji na kuondoa viashiria vya rushwa.
Madhara yake yanaonekana Tanga Jiji kwani wapo watumishi waliopewa...
Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA.
Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman.
Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi...
Habari wadau..!
Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.
Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.
Hauwezi...
Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu.
Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe.
Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU.
Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri.
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi kushuhudia...