mtupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Matangazo ya TPL ya TBC ni utopolo mtupu

    Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni. Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
  2. SoC01 Mkono Mtupu Haulambwi

    Nilibahatika kuitwa kwenye usaili wa kazi, kielimu nimehitimu mafunzo ya Udaktari mwaka 2018, na endapo ningefaulu usaili ule basi ningekuwa mkuu wa kitengo cha afya kwenye taasisi hiyo. Nilifanya maandalizi ya kutosha. Katika maswali niliyoulizwa nijieleze lilikuwa, “how well are you connected...
  3. Movie ya soz ujinga mtupu

    Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia. Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa...
  4. Police online loss report hamna kitu, ni uozo mtupu

    Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved. Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
  5. Mwanamke akutwa mtupu akiwa ameuawa Shinyanga

    Lucia Michael maarufu Mama Kulwa, mkazi wa Majengo Manispaa ya Shinyanga, amekutwa ameuwa na watu wasiojulikana, na mwili wake kutupwa nyuma ya Msikiti wa Majengo. Picha: Polisi wakichukua mwili wa Marehemu Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo aligundulika na majirani majira ya...
  6. Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

    Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
  7. Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

    Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa.Katika makala haya, utakufumbuliwa macho uanze kulala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…