mtupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Eti Mwiguli Nchemba karudisha Tabasamu Monduli. Nani aliliondoa? Ujinga Mtupu😏😏

    Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka. Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi.. Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya...
  2. Parabolic

    Maridhiano bila haki ni ubatili, tena ni ubatili mtupu!

    Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia. Kwa mtazamo wa...
  3. N

    Mabaraza ya ardhi ya wilaya ni ubatili mtupu, yafutwe

    Naomba niende kwenye mada husika kwa kuwaelekeza kwenye mifano halisi. Nachukulia mfano Baraza la ardhi wilaya la Arusha ambapo migogoro ya ardhi imetamalaki na haiwezi kwisha kwa sababu migogoro mingi inachagizwa na wenyeviti wa mabaraza.. Majuzi kwenye pita pita zangu, nikitokea zilipo ofisi...
  4. D

    Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
  5. Daraja2

    JESCA NI MAGUFULI MTUPU

    Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi" Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka...
  6. Zanzibar-ASP

    Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  7. GENTAMYCINE

    Huu ukweli mtupu ungesemwa nasi Wakristo tungeambiwa hatuwapendi, nashukuru Mungu kausema Mwenzao anayejua vyema Uislamu

    Kudadadeki.....
  8. Yoda

    Mradi wa Mji wa Wakanda ulioahidiwa na mwanamuziki Akon nchini Senegal wageuka kituko na utapeli mtupu.

    Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
  9. Inside10

    Job Ndugai: Jamii imewaacha watoto wa kiume nyuma

    Maneno haya si ya kubeza.
  10. ufalmedigital

    Ukweli mtupu uliojificha kuhusu sisi

    Unaweza Kunisikia Humu Ndani" ni kitabu kinachozungumzia ukweli mzungumzwi kuhusu unyonyaji na hali ya kisiasa na kiuchumi barani Afrika. Kitabu hiki hakina aibu kukufungua macho na kukueleza kile kinachofichwa, kupitia hadithi ambazo zitaacha alama kwenye moyo wako. Hebu angalia baadhi ya...
  11. Ritz

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  12. Angyelile99

    Vijana wengi wanapo hitimu elimu za O Level na A Level hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari

    Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali. Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
  13. Doto12

    Dr Biteko hamia Dawasa ni uwozp mtupu

    Yaani hawa dawasa ni upuuz,wajinga,wazandiki. Hawa watu sio binadam wa kawaida. Hawajali ubinadam utu haya wala nidhamu. Maji yapo kufungua hawataki. Watafungua dakika chache mno na kuyafunga. Dawasa ni uwozo mtupu
  14. Right Marker

    Wagosi wa Kaya popote mlipo, nawapa maua yenu albamu iitwayo "UKWELI MTUPU"

    📖Mhadhara (75)✍️ Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba kwa lafudhi ya Kidigo, na mwingine aliimba kwa lafudhi ya Kisambaa. Ilikuwa ni albamu iliyosheheni...
  15. Tajiri wa kinyankole

    Yeriko Nyerere akaangwa na Dr.lwaitama asema makaratasi yake ya ujasusi NI utapeli mtupu.

    Dr.kwaitama ambaye nimpigania demokrasia na mwumini wa mageuzi hapa nchini amesema kwamba yeriko Nyerere ni tapeli na hafai kwenye jamii ya watanzania kwani amekuwa kigeugeu katika misimamo yake hasa kwenye upande wa siasa, mwandishi huyo wa vitabu vya ujasusi amekuwa akitoa lugha za kashifa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

    Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
  17. Superbug

    TBC kipindi cha Duru za Siasa, ni unafiki mtupu. Mbona siasa za Tanzania mnazikwepa?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  18. Superbug

    TBC KIPINDI CHA DURU ZA SIASA NI UNAFIKI MTUPU. MBONA SIASA ZA TANZANIA MNAZIKWEPA?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  19. M

    LGE2024 Leo kwenye uchaguzi wa kura za maoni, usanii Mtupu

    Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni. Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema Diwani wa Kata hiyo, Zakalia Mkundi siku ya jana alikuwa anafanya kazi ya ugawaji wa Kadi na...
  20. kipara kipya

    Kichekesho cha hizi 2 mbeleko fc za kariakoo kushangilia droo wakati hazijawahi vuka robo fainal upuuzi mtupu

    Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf , washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo. Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
Back
Top Bottom