mtumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mtumwa aliyechimbia fedha ardhini ili isipotee

    Mtumwa aliyechimbia fedha ardhini ili isipotee Katika maandiko, kuna mfano uliotolewa ya Yesu kwa mitume wake. Mfano huo uko kwenye kitabu cha Mathayo 25:26-30. Mfano huo unahusu tajiri mmoja kumuachia mtumwa wake, fedha, talanta moja, kisha yeye akaenda safari. Aliporudi kutoka safari, tajiri...
  2. Pdidy

    EPUKA KUWA WA MTUMWA WA HISIA ZAKO KWENYE MAPENZI..JTATU NJEMA

    EPUKA KUWA MTUMWA WA HISIA ZAKO MWENYEWE📌📌 Watu wengi leo wana ongozwa na hisia kuliko akili. Ukikasirika unafanya maamuzi ya haraka, ukiumizwa una jihukumu, ukifurahi unatoa ahadi usizo weza kutimiza. Mwisho wa siku unajikuta umeharibu mahusiano, kazi, au heshima yako mwenyewe. Kumbuka hili👇...
  3. ELI COHEN

    Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  4. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Dalili nne za mtu kuwa ni mtumwa kiuchumi

    Leo tupate maarifa kidogo kwenye eneo la kiuchumi. Inawezekana unapitia kipindi fulani kwenye uchumi lakini ufahamu au uelewi kama ni miongoni mwa watu ambao ni watumwa wa kiuchumi ================== Mshauri wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji, Janeth Soka ameelezea dalili nne za mtu kufahamu kama ni...
  6. Mshana Jr

    Julius Nyerere: Mtumwa na Mhanga wa Maono yake

    Leo 14/10 ni siku ya Nyerere. Lakini pia ndiyo siku aliyozaliwa Baba yangu mzazi niliyemzika 27/9/2025. Leo angetimiza miaka 86. Siku hii ni mababa wawili waliohusika kuzifanya fikra zangu ziwe hivi zilivyo (Baba Bagonza na JKN). Wapumzike kwa amani. Mazuri yangu ni yao; mabaya yangu ni yangu...
  7. Mohamed Said

    Bi. Mtumwa Kitete Muuza Uji na Vitumbua Mchango Wake Ndiyo Ulihitimisha Safari ya Nyerere UNO 1955

    BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955 Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy. Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road. Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi. Bi Mwamvua...
  8. MamaSamia2025

    Kibiblia mtumwa anachukuliwa kama mali na sio sawa na binadamu wengine

    Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu ila kulikuwa na adhabu isiyo ya kifo endapo mtu atamuua mtumwa wake. Na biblia imeandika kuwa mtu...
  9. B

    GE2025 Moshi mjini Tunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi!

    Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi! Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si mtu anayesukumwa na makundi ya kimaslahi au ajenda...
  10. M

    UKILAZIMISHA AKUCHAGUE ANAWEZA FANYA HIVYO ILA BAADAYE ATAKUGEUZA MTUMWA WAKE

    Umewahi kulazimisha kupendwa? Matokeo yake yalikuwaje? Yawezekana ulilazimisha na kweli utafanikiwa akakubali kuwa na wewe ila ndani ya huyo mtu kuna mtu mwingine anaishi na sio wewe. Kuna uwezekano akakufanya mtumwa kwa sababu anajua huna kiasi kwake hivyo anatumia udhaifu huo kukuendesha ...
  11. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  12. Uwesutanzania

    Ukiishi kama mfalme ujanani tegemea utumwa uzeeni

    Mambo ni mawili tu, Uishi kama mfalme ujanani uje kuishi kama mtumwa uzeeni Au Uishi kama mtumwa ujanani uje kuishi kama mfalme uzeeni. Pia kumbuka maisha ni kama GAME LA AVIATOR Ishi kwa kuyavizia ukijisahu kifo kinakupitia bila kula pesa yako iliyo BANK. Pia unaeza...
  13. Heritage123

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  14. Mshana Jr

    Mfanyabiashara wa watumwa aliyegeuka kuwa Mtumwa

    Diallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa 🇸🇳 Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara wa ulaya Hata hivyo, katika mojawapo ya shughuli zake za kibiashara, maisha ya Diallo yalibadilika...
  15. M

    Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

    Habari wadau. Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
  16. Baba Kisarii

    Mwanaume asiyetumia akili kumpenda mwanamke huishia kuwa mtumwa wa mwanamke

    Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa. Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso. Mwanaume unazama mazima kwa mwanamke kisa umevutiwa na kiuno ama kario lake. Kabla ya kuzama mazima ni...
  17. Kaka yake shetani

    Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

    Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako. Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea...
  18. GoldDhahabu

    Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Kama umezaliwa kijijini kwenu, ukakulia kijijini kwenu, ukasomea kijijini kwenu, na shughuli zako zote ukazifanyia kijijini kwenu, ni rahisi kuamini kuwa mila na desturi zenu ndizo bora kuliko zingine zote. Lakini wakati huo huo, kwa watu wa tamaduni zingine, wanaweza wakawa wanawashangaa jinsi...
  19. M

    Watu hawana muda na shida zako, usiposhtukia hilo utaishi kuwa mtumwa

    Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu 😔 TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA 1. Jali afya yako kwa 100% 2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio...
  20. Mhafidhina07

    Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

    Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya...
Back
Top Bottom