mtumba

Mtumba is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,277.The ward is along the main road to Dar es salaam. Residence in this ward depends much on Agricultural activities as well as Animal keeping.
The Wards of District of Dodoma urban -Dodoma Region-Tanzania
Chamwino | Chihanga | Dodoma Makulu | Hazina | Hombolo | Ipala| Kikombo| Kukuyu North | Kikuyu South | Kilimani | Kiwanja cha Ndege (Dodoma)| Kizota | Madukani | Majengo (Dodoma) | Makole | Makutupora | Mbabala | Mbalawala | Miyuji | Mkonze | Mpunguzi | Msalato | Mtumba | Nala | Ng’ong’ona | Nzuguni | Tanbukareli | Uhuru | Viwandani | Zuzu

View More On Wikipedia.org
  1. kahata

    JamiiForums Tanzania Bidhaa ipi ya mtumba ina soko sana?

    Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi. 1. Magauni 2.Nguo za watoto mix 3. Mashuka 4.Mashati 6.Sidiria Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?
  2. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

    Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko la bidhaa za electronics hasa zile za IT ambazo zinafanya vizuri katika soko la Tanzania na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi mtumba grade A jeans tupu kama suruali au sketi fupi au makoti ya jeans?

    Habari, Naomba kujuzwa ni sehem gani nitapata mtumba grade A kwa Dar es salaam. Natamani kuanza biashara hii ya mtumba lakini jeans tupu na PIA inahitajika mtaji wa kiasi gani? Pia soma:Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?
  4. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wanaouguza wazee na vijana, ninauza wheelchair nzuri za mtumba kwa bei nafuu

    Habari wadau.. Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili.. Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000. Namba ya simu ni 0692 275 229
  5. theChinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la nguo za watoto za mtumba Jijini Dar

    Hello ladies and gentlemen... Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa. Nawasilisha. Pia soma: Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar...
  6. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

    Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals. Karibuni
Back
Top Bottom