Balo la viatu vya Mtumba

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,356
9,611
Wadau haya marobota yanapatikana wapi kwa hapa Dar?

Najitahidi robota mwa ajili ya kufanya biashara.

1620109581590.png

Mchango wa mdau

Last week nilikwenda Mwanza kuulizia kuhusu Viatu

Jamaa mmoja akaniambia kufungulisha baloo grade 1 unatakiwa uchague pea zisizo pungua 30 na kila pea moja ataniuzia 12,000/pea

Ukichukua 30*12,000=360,000/=

Nikaona isiwe tabu nikaja kwa mshikaji wangu anauza Viatu pia nikaomba ushauri alichonijibu nikashangaa Sana

Mshikaji akaniambia ni bora ninunue robota ambalo ni shilingi 400,000/= na zinakaa pea kuanzia 50-55 ukizigawa 400,000/50=8000 sasa ukilinganisha bei ya yule mshikaji wa kufungulisha tayari kanipiga 4000 kwa kila pea na hapo ndo nikamkumbuka mentor wangu CONTROLA kwenye somo lake la kumkwepa Mtu wa kati aka dalali

Hapo kwenye robota lenye pea 50 Ukiondoa pea 30 ambazo utafungulisha zimebaki pea 20 ambazo kwenye laki 400,000-360,000=40,000 je hizo pea 20 akiuza 5000*20=100,000 kweli mjini ukiingia kichwa kichwa unanyolewa bila maji

Kila la kheri mkuu Jitahidi kufanya research kwanza ujiridhishe ndo ununue mzigo

Cheers
 
Unaweza tembelea Karume ukaona viatu mkuu then ukaomba uelekezwe wanapochukua.....ila andaa kipesa ili angalau upelekwe sehemu nzuri...

Ila ninachofaham kuhusu viatu vizuri vya mtumba ni vinapatikana sana mbeya na uganda, uganda ndio best place ukipata mzigo hautajuta.
 
unaweza tembelea Karume ukaona viatu mkuu then ukaomba uelekezwe wanapochukua.....ila andaa kipesa ili angalau upelekwe sehemu nzuri...

ila ninachofaham kuhusu viatu vizuri vya mtumba ni vinapatikana sana mbeya na uganda, uganda ndio best place ukipata mzigo hautajuta
Natamani kweli kwenda huko.
 
Last week nilikwenda Mwanza kuulizia kuhusu Viatu

Jamaa mmoja akaniambia kufungulisha baloo grade 1 unatakiwa uchague pea zisizo pungua 30 na kila pea moja ataniuzia 12,000/pea

Ukichukua 30*12,000=360,000/=

Nikaona isiwe tabu nikaja kwa mshikaji wangu anauza Viatu pia nikaomba ushauri alichonijibu nikashangaa Sana

Mshikaji akaniambia ni bora ninunue robota ambalo ni shilingi 400,000/= na zinakaa pea kuanzia 50-55 ukizigawa 400,000/50=8000 sasa ukilinganisha bei ya yule mshikaji wa kufungulisha tayari kanipiga 4000 kwa kila pea na hapo ndo nikamkumbuka mentor wangu CONTROLA kwenye somo lake la kumkwepa Mtu wa kati aka dalali

Hapo kwenye robota lenye pea 50 Ukiondoa pea 30 ambazo utafungulisha zimebaki pea 20 ambazo kwenye laki 400,000-360,000=40,000 je hizo pea 20 akiuza 5000*20=100,000 kweli mjini ukiingia kichwa kichwa unanyolewa bila maji

Kila la kheri mkuu Jitahidi kufanya research kwanza ujiridhishe ndo ununue mzigo

Cheers
 
Mbeya wao wanavitoa wapi na Wanauzaje kwa baroo moja Viatu quality vya kike/kiume
Nahisi wanaingiza kupitia zambia na uganda kama sijakosea.....kuna jamaa anafanya hii na anauza raba kali kwa elfu 9 tu ioa viatu ni vizuri sana....nitamuuliza kujua zaidi ila ninauhakika anachukulia mbeya sababu nimewahi mpokelea mzigo....

Naomba nitafute taarifa kwa anaaefanya kuhusu bei nitarudi.
 
Ungeweka na sababu Mkuu
Ngoja nimsaidie....kupoint ni vizuri sababu unaoata viatu vya quality unayoitaka, hata vikiwa 50 vyote vinakuwa vikali sababu ya macho yako yamevipoint na kuviona bora....

Ila kununua robota kwanza unaweza kuta viatu vyote vya upande mmoja, yani raba kali zote ila ni za mguu wa kushoto tu au kulia tu.

Pia unaweza pata raba zisizo size uliyoitaka, yani unakuta raba zote ni number 49 mkuu, au unapata viatu vimeoza kama vilipangwa vkiwa na majimaji, achana na kupauka pia.
 
Bora upoint.
Ungeweka na sababu Mkuu

Kupoint ndio njia bora na ya uhakika kwa mtu anaefanya biashara za Mtumba (nguo na viatu)

Kununua baloo ambalo hujui ndani kuna nini huna tofauti na mtu anae BET anampa ushindi PSG angali anajua yupo kundi hatari sana.

ukifanya biashara ya mtumba ku point ndio njia salama na nafuu na uhakika 98% kula faida,uki point pair unapoint kitu tunaita SUMU yani unapoint kiatu kabla hujakfksha dukani ukiwa pale pale sokoni unavpanga vizuri kwenye begi Watu wanakupandia DAU.

Nakumbuka siku 1 huko nyuma nikiwa chuo kama kawaida yangu kwenda kununua viatu kwa ajili yangu binafsi nilipoint kiatu kimoja kikali sana kwa sh 7000 ila jamaa akaingia tamaa akasema nimpe 8000 nikampa,kile kiatu nilikiuza pale pale sokoni kwa 50,000 Japo kusema ukweli nilikiuza huku roho inaniuma kwanini sijakivaa hata mara 1 (niosheee)

Hadi na leo hiii na point viatu vya mwanangu, ni viatu ambavyo akivaa mtoto lazima uhisi ni toto la kishua,hadi leo hiii na point viatu vyangu binafsi nikiona tu nimeishiwa Nadamka siku 1 nawahi location nakuta nishaandaliwa mzigo wangu,nabeba nasepa.

KWANINI NAKUSHAURI KU POINT?

siku hizi wafanyabiashara hawataki hasara tena wameshachoka kula hasara kwahiyo baloo likiingia tu wanalirarua usiku usiku wanachambua nguo kali kali au viatu vikali vikali kisha balo linapigwa tena mkanda linakua kama lipo sealed halijaguswa.

wewe ukiliona unadhani halijaguswa ila ushachelewa wajanja zaidi yako wachalichana muda tuuu wakatoa vinavyowafaa,sasa wewe ukiwa mnunua Balo kila siku utalamba hasara na mwisho utaona biashara mbaya wakati si kweli kwamba biashara mbaya,katika biashara nzuri na zenye pesa ni biashara za nguo za mtumba za kike + viatu (aina zote) ukijua kupoint hii ni biashara ambayo ukiianza kuiacha utaiacha YESU akirudi.

Biashara ya kupoint raha n unapoint kitu kwa 3000 unakiuza 30,000 na anaeuziwa anaondoka anachekelea mpk jino la mwisho,ni biashara ambayo kwasiku unahitaji wateja wako wawili tu wafike dukani.

mTeja wa kwanza kanunua Raba uliyo ipoint kwa 5000 wewe unamuuzia 25,000 (20k faida)

mTeja wa pili kanunua sendo uliyoipoint kwa 8000 wewe unamuuzia 35,000 (27k faida)

ukipga Total ya faida kwa siku umeingiza 47,000 hivi unafikiri utakaa uache hiii biashara? Never ni Ujio wa Yesu tu ndio utakufanya uache hii biashara.

Baloo ni hasara katka pair utakazokuta kuna pair mbaya mbaya mbaya hata upewe bure huchukui,halafu mabalo mengine unakuta lina viatu namba ambazo hazina wateja namba zenye wateja wa PESA hukuti hata 1.

na mara nyingi wafunguaji mabalo usiku wanachomoaga pair za pesa ambazo ni namba kubwa kubwa kama 44,45 kuendelea hizo Pair ndio Pesa imelala na hutozikuta hizo pair popote paleee,zinatolewa mapemaaa Watu wenye miguu mikubwa hupata shida sana kupata viatu,sasa anapokuja dukan kwako akakukuta na kiatu kikali saizi yake Hata umwambie bei gani kama hela anayo "HAKIACHI"

nimejaribu kukwambia na kukuelezea umuhimu wa kupoint na kwanini,kwahiyo nadhani akili ukijumlisha na zako kichwani utakua umepata idea ya bora baloo au bora ku point.
 
Last week nilikwenda Mwanza kuulizia kuhusu Viatu

Jamaa mmoja akaniambia kufungulisha baloo grade 1 unatakiwa uchague pea zisizo pungua 30 na kila pea moja ataniuzia 12,000/pea

Ukichukua 30*12,000=360,000/=

Nikaona isiwe tabu nikaja kwa mshikaji wangu anauza Viatu pia nikaomba ushauri alichonijibu nikashangaa Sana

Mshikaji akaniambia ni bora ninunue robota ambalo ni shilingi 400,000/= na zinakaa pea kuanzia 50-55 ukizigawa 400,000/50=8000 sasa ukilinganisha bei ya yule mshikaji wa kufungulisha tayari kanipiga 4000 kwa kila pea na hapo ndo nikamkumbuka mentor wangu CONTROLA kwenye somo lake la kumkwepa Mtu wa kati aka dalali

Hapo kwenye robota lenye pea 50 Ukiondoa pea 30 ambazo utafungulisha zimebaki pea 20 ambazo kwenye laki 400,000-360,000=40,000 je hizo pea 20 akiuza 5000*20=100,000 kweli mjini ukiingia kichwa kichwa unanyolewa bila maji

Kila la kheri mkuu Jitahidi kufanya research kwanza ujiridhishe ndo ununue mzigo

Cheers
Na kwenye 360,000 bado umepigwa
 
Kupoint ndio njia bora na ya uhakika kwa mtu anaefanya biashara za Mtumba (nguo na viatu)

Kununua baloo ambalo hujui ndani kuna nini huna tofauti na mtu anae BET anampa ushindi PSG angali anajua yupo kundi hatari sana.

ukifanya biashara ya mtumba ku point ndio njia salama na nafuu na uhakika 98% kula faida,uki point pair unapoint kitu tunaita SUMU yani unapoint kiatu kabla hujakfksha dukani ukiwa pale pale sokoni unavpanga vizuri kwenye begi Watu wanakupandia DAU.

Nakumbuka siku 1 huko nyuma nikiwa chuo kama kawaida yangu kwenda kununua viatu kwa ajili yangu binafsi nilipoint kiatu kimoja kikali sana kwa sh 7000 ila jamaa akaingia tamaa akasema nimpe 8000 nikampa,kile kiatu nilikiuza pale pale sokoni kwa 50,000 Japo kusema ukweli nilikiuza huku roho inaniuma kwanini sijakivaa hata mara 1 (niosheee)

Hadi na leo hiii na point viatu vya mwanangu, ni viatu ambavyo akivaa mtoto lazima uhisi ni toto la kishua,hadi leo hiii na point viatu vyangu binafsi nikiona tu nimeishiwa Nadamka siku 1 nawahi location nakuta nishaandaliwa mzigo wangu,nabeba nasepa.

KWANINI NAKUSHAURI KU POINT?

siku hizi wafanyabiashara hawataki hasara tena wameshachoka kula hasara kwahiyo baloo likiingia tu wanalirarua usiku usiku wanachambua nguo kali kali au viatu vikali vikali kisha balo linapigwa tena mkanda linakua kama lipo sealed halijaguswa.

wewe ukiliona unadhani halijaguswa ila ushachelewa wajanja zaidi yako wachalichana muda tuuu wakatoa vinavyowafaa,sasa wewe ukiwa mnunua Balo kila siku utalamba hasara na mwisho utaona biashara mbaya wakati si kweli kwamba biashara mbaya,katika biashara nzuri na zenye pesa ni biashara za nguo za mtumba za kike + viatu (aina zote) ukijua kupoint hii ni biashara ambayo ukiianza kuiacha utaiacha YESU akirudi.

Biashara ya kupoint raha n unapoint kitu kwa 3000 unakiuza 30,000 na anaeuziwa anaondoka anachekelea mpk jino la mwisho,ni biashara ambayo kwasiku unahitaji wateja wako wawili tu wafike dukani.

mTeja wa kwanza kanunua Raba uliyo ipoint kwa 5000 wewe unamuuzia 25,000 (20k faida)

mTeja wa pili kanunua sendo uliyoipoint kwa 8000 wewe unamuuzia 35,000 (27k faida)

ukipga Total ya faida kwa siku umeingiza 47,000 hivi unafikiri utakaa uache hiii biashara? Never ni Ujio wa Yesu tu ndio utakufanya uache hii biashara.

Baloo ni hasara katka pair utakazokuta kuna pair mbaya mbaya mbaya hata upewe bure huchukui,halafu mabalo mengine unakuta lina viatu namba ambazo hazina wateja namba zenye wateja wa PESA hukuti hata 1.

na mara nyingi wafunguaji mabalo usiku wanachomoaga pair za pesa ambazo ni namba kubwa kubwa kama 44,45 kuendelea hizo Pair ndio Pesa imelala na hutozikuta hizo pair popote paleee,zinatolewa mapemaaa Watu wenye miguu mikubwa hupata shida sana kupata viatu,sasa anapokuja dukan kwako akakukuta na kiatu kikali saizi yake Hata umwambie bei gani kama hela anayo "HAKIACHI"

nimejaribu kukwambia na kukuelezea umuhimu wa kupoint na kwanini,kwahiyo nadhani akili ukijumlisha na zako kichwani utakua umepata idea ya bora baloo au bora ku point.
Wakuu mi la ziada sina ushamnyooshea maelezo na ameelewa siku hizi kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni kwa wageni tu. balo lilo fungwa ni kuuziwa mbuzi guniani. kuna point umeongea hapo ya viatu size 44-45 hii nimeona kwenye nguo pia yaani zile saizi ndogo ndio nzuri afu kubwa ni maronyaronya pindi mtu anapofungua balo, nguo za wale wa miaka 16 shuka chini huwa ni kali.
 
Kupoint ndio njia bora na ya uhakika kwa mtu anaefanya biashara za Mtumba (nguo na viatu)

Kununua baloo ambalo hujui ndani kuna nini huna tofauti na mtu anae BET anampa ushindi PSG angali anajua yupo kundi hatari sana.

ukifanya biashara ya mtumba ku point ndio njia salama na nafuu na uhakika 98% kula faida,uki point pair unapoint kitu tunaita SUMU yani unapoint kiatu kabla hujakfksha dukani ukiwa pale pale sokoni unavpanga vizuri kwenye begi Watu wanakupandia DAU.

Nakumbuka siku 1 huko nyuma nikiwa chuo kama kawaida yangu kwenda kununua viatu kwa ajili yangu binafsi nilipoint kiatu kimoja kikali sana kwa sh 7000 ila jamaa akaingia tamaa akasema nimpe 8000 nikampa,kile kiatu nilikiuza pale pale sokoni kwa 50,000 Japo kusema ukweli nilikiuza huku roho inaniuma kwanini sijakivaa hata mara 1 (niosheee)

Hadi na leo hiii na point viatu vya mwanangu, ni viatu ambavyo akivaa mtoto lazima uhisi ni toto la kishua,hadi leo hiii na point viatu vyangu binafsi nikiona tu nimeishiwa Nadamka siku 1 nawahi location nakuta nishaandaliwa mzigo wangu,nabeba nasepa.

KWANINI NAKUSHAURI KU POINT?

siku hizi wafanyabiashara hawataki hasara tena wameshachoka kula hasara kwahiyo baloo likiingia tu wanalirarua usiku usiku wanachambua nguo kali kali au viatu vikali vikali kisha balo linapigwa tena mkanda linakua kama lipo sealed halijaguswa.

wewe ukiliona unadhani halijaguswa ila ushachelewa wajanja zaidi yako wachalichana muda tuuu wakatoa vinavyowafaa,sasa wewe ukiwa mnunua Balo kila siku utalamba hasara na mwisho utaona biashara mbaya wakati si kweli kwamba biashara mbaya,katika biashara nzuri na zenye pesa ni biashara za nguo za mtumba za kike + viatu (aina zote) ukijua kupoint hii ni biashara ambayo ukiianza kuiacha utaiacha YESU akirudi.

Biashara ya kupoint raha n unapoint kitu kwa 3000 unakiuza 30,000 na anaeuziwa anaondoka anachekelea mpk jino la mwisho,ni biashara ambayo kwasiku unahitaji wateja wako wawili tu wafike dukani.

mTeja wa kwanza kanunua Raba uliyo ipoint kwa 5000 wewe unamuuzia 25,000 (20k faida)

mTeja wa pili kanunua sendo uliyoipoint kwa 8000 wewe unamuuzia 35,000 (27k faida)

ukipga Total ya faida kwa siku umeingiza 47,000 hivi unafikiri utakaa uache hiii biashara? Never ni Ujio wa Yesu tu ndio utakufanya uache hii biashara.

Baloo ni hasara katka pair utakazokuta kuna pair mbaya mbaya mbaya hata upewe bure huchukui,halafu mabalo mengine unakuta lina viatu namba ambazo hazina wateja namba zenye wateja wa PESA hukuti hata 1.

na mara nyingi wafunguaji mabalo usiku wanachomoaga pair za pesa ambazo ni namba kubwa kubwa kama 44,45 kuendelea hizo Pair ndio Pesa imelala na hutozikuta hizo pair popote paleee,zinatolewa mapemaaa Watu wenye miguu mikubwa hupata shida sana kupata viatu,sasa anapokuja dukan kwako akakukuta na kiatu kikali saizi yake Hata umwambie bei gani kama hela anayo "HAKIACHI"

nimejaribu kukwambia na kukuelezea umuhimu wa kupoint na kwanini,kwahiyo nadhani akili ukijumlisha na zako kichwani utakua umepata idea ya bora baloo au bora ku point.
Umemaliza Mkuu nalichukua hili
 
wakuu mi la ziada sina ushamnyooshea maelezo na ameelewa siku hizi kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni kwa wageni tu. balo lilo fungwa ni kuuziwa mbuzi guniani. kuna point umeongea hapo ya viatu size 44-45 hii nimeona kwenye nguo pia yaani zile saizi ndogo ndio nzuri afu kubwa ni maronyaronya pindi mtu anapofungua balo, nguo za wale wa miaka 16 shuka chini huwa ni kali.
Sawa Mkuu ndo Maana ya kutafuta taarifa sahihi nipo najifunza
 
Kupoint ndio njia bora na ya uhakika kwa mtu anaefanya biashara za Mtumba (nguo na viatu)

Kununua baloo ambalo hujui ndani kuna nini huna tofauti na mtu anae BET anampa ushindi PSG angali anajua yupo kundi hatari sana.

ukifanya biashara ya mtumba ku point ndio njia salama na nafuu na uhakika 98% kula faida,uki point pair unapoint kitu tunaita SUMU yani unapoint kiatu kabla hujakfksha dukani ukiwa pale pale sokoni unavpanga vizuri kwenye begi Watu wanakupandia DAU.

Nakumbuka siku 1 huko nyuma nikiwa chuo kama kawaida yangu kwenda kununua viatu kwa ajili yangu binafsi nilipoint kiatu kimoja kikali sana kwa sh 7000 ila jamaa akaingia tamaa akasema nimpe 8000 nikampa,kile kiatu nilikiuza pale pale sokoni kwa 50,000 Japo kusema ukweli nilikiuza huku roho inaniuma kwanini sijakivaa hata mara 1 (niosheee)

Hadi na leo hiii na point viatu vya mwanangu, ni viatu ambavyo akivaa mtoto lazima uhisi ni toto la kishua,hadi leo hiii na point viatu vyangu binafsi nikiona tu nimeishiwa Nadamka siku 1 nawahi location nakuta nishaandaliwa mzigo wangu,nabeba nasepa.

KWANINI NAKUSHAURI KU POINT?

siku hizi wafanyabiashara hawataki hasara tena wameshachoka kula hasara kwahiyo baloo likiingia tu wanalirarua usiku usiku wanachambua nguo kali kali au viatu vikali vikali kisha balo linapigwa tena mkanda linakua kama lipo sealed halijaguswa.

wewe ukiliona unadhani halijaguswa ila ushachelewa wajanja zaidi yako wachalichana muda tuuu wakatoa vinavyowafaa,sasa wewe ukiwa mnunua Balo kila siku utalamba hasara na mwisho utaona biashara mbaya wakati si kweli kwamba biashara mbaya,katika biashara nzuri na zenye pesa ni biashara za nguo za mtumba za kike + viatu (aina zote) ukijua kupoint hii ni biashara ambayo ukiianza kuiacha utaiacha YESU akirudi.

Biashara ya kupoint raha n unapoint kitu kwa 3000 unakiuza 30,000 na anaeuziwa anaondoka anachekelea mpk jino la mwisho,ni biashara ambayo kwasiku unahitaji wateja wako wawili tu wafike dukani.

mTeja wa kwanza kanunua Raba uliyo ipoint kwa 5000 wewe unamuuzia 25,000 (20k faida)

mTeja wa pili kanunua sendo uliyoipoint kwa 8000 wewe unamuuzia 35,000 (27k faida)

ukipga Total ya faida kwa siku umeingiza 47,000 hivi unafikiri utakaa uache hiii biashara? Never ni Ujio wa Yesu tu ndio utakufanya uache hii biashara.

Baloo ni hasara katka pair utakazokuta kuna pair mbaya mbaya mbaya hata upewe bure huchukui,halafu mabalo mengine unakuta lina viatu namba ambazo hazina wateja namba zenye wateja wa PESA hukuti hata 1.

na mara nyingi wafunguaji mabalo usiku wanachomoaga pair za pesa ambazo ni namba kubwa kubwa kama 44,45 kuendelea hizo Pair ndio Pesa imelala na hutozikuta hizo pair popote paleee,zinatolewa mapemaaa Watu wenye miguu mikubwa hupata shida sana kupata viatu,sasa anapokuja dukan kwako akakukuta na kiatu kikali saizi yake Hata umwambie bei gani kama hela anayo "HAKIACHI"

nimejaribu kukwambia na kukuelezea umuhimu wa kupoint na kwanini,kwahiyo nadhani akili ukijumlisha na zako kichwani utakua umepata idea ya bora baloo au bora ku point.
Braza, hiv mabaloo ya viatu vya mtumba yanapatikana kulekule mnazi mmoja ama kunako sehemu ingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom