mtu

  1. Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko. ====...
  2. S

    Hivi ni kweli kwamba mtu akiziona nyeti za mzazi wake analaaniwa?

    Kuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo. Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana. Hii ni kweli??
  3. D

    Inasikitisha unamtoa madarakani kisa ni dikteta unaingiza dikteta mwingine mamlakini

    Uganda wanapitia kipindi kigumu sana chini ya dictator Museveni. Leo nimesikia DW ya ujerumani inasikitisha sana watu wanauawa na kuswekwa ndani kila kukicha kisa tu dictator hataki kukosolewa kabisa na yeyote. Bora hata JPM yeye alikuwa anawaua watu kisiri Siri lakini huyu anawaua hadharani...
  4. Mtu yeyote anaeishi kwa kujikombakomba ni mvivu mkubwa

    Angalia sifa kuu ya mtu yeyote ambae huishi kwa kujikomba komba au kujipendekeza kwa watu, mara nyingi hawa ni watu wenye sifa kuu ya kuwa wavivu wakubwa...mfano ndugu zangu warangi hawapendi kazi ngumu, hawapendi kazi zinazotumia kiwango kikubwa cha kufikiri yaani kutumia akili nyingi....
  5. D

    Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango. Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
  6. Road map 2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu

    ROADMAP2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unaweza ukajiuliza kwa nini katika sensa za zamani Wanawake hawakuchukuliwa kama Watu. Hata katika Biblia tunaona Yesu akilisha Watu(wanaume) elfu tano huku wanawake na watoto wakiwekwa kando. Jambo hilo...
  7. Mtu akitembea na mkeo nawe tembea na mkewe wake

    Na uchungu sana. Sababu ya ukengeufu wa maadili ndoa haziheshimiwi kabisa,watu wanapita tu ukiacha mlango wazi. Watu Wana ndoa home wakienda makazini Wana ndoa zingine yaani ndoa juu ya ndoa. Uhitaji kuumia utaacha wangapi wote wameoza. Mtu akipita na mke / mme wako nawe pita na wake kwa...
  8. Mtu kujitangaza kaokoka ama watu kumsemea kaokoka ni undumilakuwili, matendo yake ya mafichoni na fikra zake haviwezi kuonekana kirahisi.

    Mimi nimeokoka sikuhizi, Fulani kaokoka baada ya kutoka jela, fulani kaokoka baada ya kuponea chupu chupu ajali, n.k, ni kauli ambazo nikizisikia namrefer mhusika moja kwa moja na ndumilakuwili. Kuokoka huwa ni siri ya mtu binafsi na Mwenyezi Mungu, kwamba yeye anatenda, kufikiri, kunena, n.k...
  9. Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

    Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu. Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje. Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi. Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
  10. Soma maandiko upate maarifa: Mwanamke siyo mtu usihangaike naye

    Nashangaa watu wanaojifanya kutaka kuwaelewa wanawake.Unaweza kubadili tabia ya mti?Au tofauti? Ebu soma biblia hapa chini. Mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana. Kama angekuwa mtu kila mtu anajua sentensi ingekaaje hapo. Hili andiko halihusiani na...
  11. J

    Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi. Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa...
  12. Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  13. Unapoanzisha mahusiano na mtu hakikisha mnaendana kitabia ili kuepusha lawama mbeleni

    Habari zenu Wakuu, Vitabu vya Dini havikukosea kusema watu wasiikaribie zinaa, nadhani kila mtu anajua kuhusu hilo. Mtu aliezoea kunyonywa uke/uume siku akifunga ndoa na mtu ambaye anyonyi Uchi-huyo Mtu lazima atachepuka na kwenda kutafuta wanyonya uke/uume. Mazoea hujenga tabia wahenga...
  14. Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

    Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi. Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa...
  15. Mwaka 2024 usiache mtu mwingine aendeshe maisha yako

    Maisha yetu wakati mwingine hukabiliwa na mikwamo mingi sana inayotokana na kuwaachia watu wengine kuendesha maisha yetu. Mwaka 2024 uwe ni mwaka wa kukataa watu wengine kuendesha maisha yetu. Kama unataka kumuomba Mungu juu ya Maisha yako, omba mwenyewe Achana na kubebeshwa vitu na...
  16. Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  17. Chochote kinachompotezea mtu muda huonekana kizuri.

    Katika zama ambazo kumeibuka vitu vingi vinavyoweza kumpatia mwanadamu uraibu wa kupoteza muda ni zama tunazoishi. Uzoefu wa kawaida wa maisha unaonesha mambo yanayopoteza muda wa watu kwa visingizio au sababu mbalimbali kuongezeka mara dufu Duniani. Siyo jambo la ajabu leo kumkuta mtu...
  18. Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  19. Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

    Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni. 👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023. 1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
  20. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…