Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira.
Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo.
Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje?
Je, haoni hatari ilioje? Na...
Sijajua ni Nini hasa inanifanya Mimi kuwa na hasira kupita kiasi mpaka kwa watu wangu wa karibu,
Kwani nimekuwa nikiwajibu majibu ya mkato mpaka wanakuwa wanashangaa
Wengine huishia kunyamaza na wengine huniambia kuwa nimewajibu vibaya,
Hii Hali imeanza mwezi huu wa kwanza, natamani Sana...
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo...
Tajiri namba moja duniani Bw. Elon Musk amesema binti yake hawezi kuolewa na mtu maskini. Ukisoma maelezo yake hapa chini bila shaka utakubaliana na dhana yake hiyo.
Tofauti na wengi tunavyoelewa maana halisi ya mtu maskini kwa tafsiri rahisi na ya haraka haraka ni kwamba ni yule mtu asiye na...
Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.
Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.
===
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude
Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
-Habari za majukumu?
Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya
-Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua.
Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming.
Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba.
Ina maana ukubwa wa USA ni...
Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati.
Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza, maana magari yamezunguka Mwanza nzima kutoa taarifa. Kila baada ya saa moja kulikuwa na gari linapita...
Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi.
Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani...
Habari za muda huu ndugu zanguni.
Mwaka fulani mida ya asubuhi wakati nikiwa kwenye harakati za kuusaka ugali nilidondosha pochi yangu.
Pochi yangu wakati inadondoka ilikuwa na pesa kiasi kama 90,000/= na vitambulisho na kadi zangu za benki na wakati naangusha nilikuwa naelekea benki ya NBC...
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya.
Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa.
Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
Kama umepanga kulipiza kisasi kwa adui yako basi panga kimya kimya; kisasi hiko usije kuanza kuropoka maneno mabaya mbele za watu. Kuna Matukio mawili nayakumbuka.
La kwanza tulikuwa tunakunywa sehemu sasa watu wawili maadui wakaanza kuzinguana mmoja anaanza kumwambia mwenzake nitakuua wewe...
1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako
2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni
3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile
Kufirisika / kufulia
Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k.
Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k.
Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili.
Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa watu ninaojihisi nachukiwa sana katika maisha yangu, nimekuwa napitia changamoto za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.