mtu

  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolalamika wanaume wanamaliza haraka mnataka tuwaeleweje?

    Mtu analalamika eti wanaume wana haraka katika kufanya tendo, ila mtu huyo huyo yeye ana haraka ya maisha kupelekea kukuacha wewe ambaye bado una hustle. Kwa sisi mabaharia ile haraka huwa ni munkali wa stress zilizopo kichwani za kuambiwa turudi veta plus nauli ulizokula hapo nyuma. So kila...
  3. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu weka picha ya mtu ,kiongozi unae dhani kuwa ni tatizo hapa nchini

    Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii. Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii Karibuni sasa tu share picha zao...
  4. mbegubora29

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tambueni mipaka yenu na watu wenu msituletee taharuki mtaani, kila mtu ana dini yake na asili yake

    Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin! Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Matangazo Mubashara Tumaini Tv, mtu anapigwa vijembe muda huu. Ni tukio la kusimikwa askofu katoliki jimbo Bagamoyo..

    Nukuu; 1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli, 2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Njaa haimpendezi mtu kama nguo, Tundu Lissu akigoma kula msihangaike naye, atakula mwenyewe

    Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa. Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hizi wi-fi routers ni utapeli tu kama mwingine, yani mtu una download file la gb 3 spidi kama ya konokono

    Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao. Pure evil bastards.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  10. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

    Haya twende kazi, 1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine. 2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu. 3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu alie arrogant kama demu alielewa pesa za kuhongwa

    Unakuta mtu basi tu ni tako ndio limemuokoa kutoka bunyokwa ndani ndani huko sasa ana enjoy pesa za wanaume, ameshajisahau kabisa, hata akiona mtu anakula mlenda anajisikia kutapika sasa hivi😁 wakti ndio ilikuwaga menu yao Eti demu anamuambia mshikaji mmoja hivi inakuwaje mbwa unampa makombwe...
  12. Palina

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani. Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu. Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha. Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtu mmoja anawaingiza maelfu ya watu kwenye uovu ili dili lake lifanikiwe

    Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi. Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde. Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani

    In this life muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani. Usiwe msahulifu kwa watu waliowahi kukusaidia . Kumbuka kile kipindi umekwama hauwezi , hauoni pakushika lakini alitokea fulani akakushika mkono , unapopata nafasi ya kulipa fadhila do it more
  16. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana boda Morogoro anipelekee mzigo Kwa mwanangu Mzumbe shule?

    Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka yale ya AGP Siro na Dereva wa Tex kumteka Mo? ndio haya ya mtu mmoja anashikiliwa kwa kumdhuru Dr Padri Kitima

    Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa. Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
Back
Top Bottom