mtu

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini kusiwe na sheria ya mtu kuchagua dini/dhehebu akifikisha miaka 18?

    Habarini, Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto. Kama mambo mengi ikiwemo...
  3. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mtu anatapeli anaiba,anadhulumu lakini anaendelea kudunda tu?

    Wakuu hii imekaaje? Unakuta mtu anaonea wanyonge labda Kwa kuwadhulumu mashamba,nyumba anaiba,anauza ung (drugs),bange, na biashara pamoja na dili zote haramu halafu anadunda tu mtaani miaka na miaka,na serikali na Mungu wanamuona na hakuna kinachomkuta hii imekaaje?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Mabadiriko haya ni ya Kimkakati zaidi kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Si kila mtu anapaswa kutembelea kaburi la Mwl. Nyerere,wengine ni wachafu kwa matendo

    Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu niwaulize swali nyinyi mnakwenda hapo. 1. Je matendo yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana? 2. Je falsafa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yani hapa sijanywa hata chai kuna mtu ana yadi ya magari ya mabilioni nyumbani kwake, Tanzania hakuna haki.

    Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa Sina,nawasihi Angela Kizinga,Elvis na Abdul mnionee huruma mniletee hata kabilioni na Mimi nipate raha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Polepole anaendelea na destruction na character assassination, Anapaswa kuwepo mtu mwingine wa kuchochea uasi wa Umma (Civil disobedience)

    Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana aina ya watu wanaozungumza na kila mtu

    Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo . Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule...
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia: Mtu mkimya ana Nguvu kuliko mtu mwenye kelele

    Copy hii code kisha ishi nayo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania App gani yenye uwezo wa kutengeneza maneno yaani transcripts kutokea kwenye video zilizo kwa lugha ya kiswahili?

    Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania ACT mkikomaa hivi, mtatoa mfano wa namna mtu kujipatia anachoamini ni chake. Chake mtu, haombi!

    Kunaanza kuchangamka. Kwamba? Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu? Tena na chigogo yule mwenyewe kabisa, ili kama vipi kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga pendwa la kampeni, kwa raha zenu? Huu unaweza kuwa wakati mzuri zaidi kwenu kutoa somo kwa vitendo na hasa...
  15. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  16. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

    Inasikitisha sana Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe. Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na mtu wa hivi?

    Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu. Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni aina ya after shave au shaving cream inawafanya wawe hivyo usoni? Mimi usoni nina ndevu nyingi sana...
Back
Top Bottom