mtu

  1. Huwezi kuwa mtu halali kuidhinisha kitu halali ilhali wewe mwenye 'sihalali' Yani hujapatikana Kwa haki

    Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki. HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
  2. Zamani ilikuonesha mapenzi, unapiga picha unampa mtu anaweka kwenye album, akiiangalia anafurahi. Sasa hivi mnapeana nini?

    Ilikua ukipewa picha na mtu ni zawadi kubwa sana na ushahidi kua huyo mtu ni wako, je sasa hivi mnapeana nini ?
  3. Kumbe kuna Timu ilimtaka Jonathan Sowah kwa Mkopo kama ilivyozea huku ikijitamba ni Tajiri na ina Mtu wao huko huko alikotoka Sowah?

    Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi Bilioni 1 ili inisaidie pia katika Kampeni zangu Mkoa wenye Wanawake wazuri, wepesi Kutongozeka na...
  4. Kisa cha Utafiti wa Tuskegee juu ya ugonjwa wa Kaswende ulivyokua wa kikatili kuangamiza Wanaume Weusi Marekani

    Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama Utafiti wa Tuskegee kuhusu ugonjwa wa Kaswende (The Tuskegee Syphilis Study) uliofanyika kuanzia mwaka...
  5. Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  6. Mungu hamfurahii mtu anayesitasita. KANUNi za kimUngu zinazoendesha Dunia hazitakuunga mkono

    “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita. Anataka au...
  7. Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
  8. Kumtisha Samia, ni kumtishia mtu mzima nyau!

    Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030! Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata! Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
  9. GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

    Wakuu mpo wazima hapa. Leo nimewaza tu. 1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania 2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake. 3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
  10. David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  11. Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  12. Kama umekosea kuoa/kuolewa. Namaanisha kama upo kwenye ndoa au uhusiano na mtu ambaye si sahihi kwako njoo hapa kuna tiba.

    80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao. Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote wanaweza kuwa sahihi kwako . La haula baada ya kufunga ndoa, baada ya kuzaa na mtu ndipo unagundua huyo mtu...
  13. Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  14. Abtali Mwerevu, Mtu mwema, Makini na Mwaminifu Kupitiliza

    Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
  15. Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  16. R

    GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  17. Unamsaidiaje Mtu ambae Akili zake Zimehama/Zimeruka?

    Wakuu, msaada wenu naomba msaada kwenye jambo. Hivi unamsaidiaje mtu ambae akili zake zimeruka?. Yaani mwanzoni alikua na akili timamu kabisa ila ghafla tu anageuka kua FYATU anaanza kuongea vitu vya ulimwengu ambao hauonekani kwa macho, unamsaidiaje? Halafu nyie mnaozushia watu...
  18. W

    Una lipi la kumwambia Kamanda wa Mama?

    Kamanda wa mama amjibu Polepole,adai dadaake hakutekwa bali alikuwa kwa mumewe. Unalipi la kumwambia huyu kada wa mama? 🤣🤣
  19. O

    Utatambuaje mtu uliyenaye karibu ni Psychopath au Serial Killer?

    Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa! Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer. Pyschopath ni mtu...
  20. Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…