mtu

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kiongozi Mzanzibari asipokubalika Tanganyika kwa sababu ya Uzanzibari wake inakuwa ni ubaguzi?

    Kwa nini mtu bara au kwa lugha sahihi na iliyonyooka Mtanganyika hawezi kupata kabisa nafasi muhimu za uongozi huko Zanzibar na haionekani ni ubaguzi ila Mzanzibar anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi hapa bara/Tanganyika ila watu wa Watanganyika wakipinga au wasipopendezwa na hili jambo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hili suala la udini ni kama kuna mtu anatafuta huruma

    Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chakwera si mtu sahihi kuja Tanzania

    Tanzania hatuhitaji symbolic envoy au mgeni wa kutuliza hali. Tunahitaji mtu mwenye meno, mwenye rekodi ya kushughulikia migogoro mikubwa, na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu mbele ya serikali yoyote. Chakwera ni kiongozi soft spoken, wa diplomasia ya kawaida, na hana uzito unaohitajika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anasoma upuuzi wa Deodatus Balile

    Nimeuliza, tu maana yule ni chawa bobezi......Nshomile takataka
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo

    Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

    Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice? Kama Mods will spare this let us educate each other
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kukata Miti

    Nimefuta maana nimeshapata mtu
  12. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

    Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani? Hapana. Tutawakosea sana watu hawa
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili ni yupi?

    https://www.facebook.com/groups/578569495998293/posts/1881772182344678/ Mit 8:13 Kumcha BWANA ni kuchukia uovu, Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia. Mit 1:7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu Zab 53:2-3 Toka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha: Kiinua mgongo ambacho...
  20. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani mtu anatakiwa kufuata ili apate hati miliki ya kiwanja/nyumba?

    Habari za muda Huu wadau, naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
Back
Top Bottom