mtu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Chris Mauki: Tunaweza kuikomboa Tanzania pasipo damu ya Mtu kumwagika, Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mhashamu Filbert Mhasi: Nitashangaa sana kama kuna mtu amepita seminari anakuwa CHAWA

    "...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi Mhashamu Filbert Mhasi wakati akitoa mahubiri kwenye masifu ya jioni kuelekea JUBILEI...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bado kuna mtu anaamini 29 Sep kuna uchaguzi?

    Kwa hali iliyopo sasa na inayoendelea Nani anaamini bado kuna uchaguzi tu mwaka huu Cc Stuxnet
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

    Ni swali tu maana wavaa ngwada wakitamkaga nchi yeyote ile uwa wanatamka huku mkubwa akiwa chini ya ulinzi Tayari, Na ikitokea wakatamka kabla basi haichukui muda! Nasisitiza HOTUBA YA KUANDIKA NA KUANDIKIWA INAJULIKANA Britanicca
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  7. Simeone

    JamiiForums Tanzania Je, nini huwa kinatokea pale mtu anapokaribia kufa?

    Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake.... Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo yanayofanana sana ulimwenguni kote. Watu hawa huripoti uzoefu ambao kwa ujumla unaweza kugawanywa katika...
  8. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuolewa/kuoa mtu ambaye siyo wa kabila lako, jifunze lugha ya kabila yake lkn usimwambie kuwa unaifahamu

    Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba. Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba wako na ndugu zake ghala utaona lugha inabadilishwa. Nitoe mifano mitatu tu:- 1. Kwa wachumba...
  10. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Usimlazimishe Mtu Akupende

    Posted by a life Dijest Loving a person is not by force, its by choice, never make the mistake of forcing a person into loving you simply because you love them and you want them to love you in return, if you do so you will continue to beg and force them to do everything there is to be done in...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

    Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa. Hvyo hizi za Sasa ni...
  12. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama kuna mtu anataarifa za yuke jamaa alikuwa anasambaza vipeperushi vya maandamano kama kakamatwa au la

    Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR. Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila chombo cha usafiri kilicho kuwa karibu. Naomba kujuzwa kwa wenye taarifa yeyote. Naona ile roho ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

    Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mtu kuichukia nchi yake ya asili aliyozaliwa au ya wazazi wake?

    Kuna watu mtandaoni wanasema ni bora kujiua kuliko kurudi au kurudishwa kwenye nchi zao za asili!
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo linalokula data za watu bila mtu kufahamu hapa kwenye pagination ya chapisho

    Habari, Pagination ni nini ? kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja. Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

    Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Uwe raia mwema au mtu wa madili, Epuka mazoea na askari

    Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao...
Back
Top Bottom