mtu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ina maana ni kweli kwamba jeshi letu na vyombo vyake havikujua kwamba huyu mtu alikuwa na kisasi na watanganyika tangu 2001

    Kwamba walio kuwa wanawaminia watanganyika risasi kama wanaua ngedere walio vamia shamba la mahindi kilikuwa ni kikosi toka zanzibar hilo mimi sina hakika lakini ni kweli kabisa waliuawa kwa mamia kwa risasi za moto na kilikiwa kisasi hasa maana mashuhuda wengine walio nusurika uliongea nao...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Unamuheshimu mtu unakuja kugundua ni msagaji. Hii nchi hii inasiri.

    Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake. Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi. Tena...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  7. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU mzima wa kunifariji

    Moyo wangu umeumia Sana jamani Niko down Sana Natafuta faraja tu Hata pm ,email . Karibuni
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa baba au mama wa familia halafu familia nzima inamsikiliza mtu wa nje kabisa na familia utajisikiaje?

    Kama walivosema Roma haikujengwa kwa siku moja basi pia ni sahihi kwamba Roma haikuanguka kwa siku moja, ilikua ni process iliochukua muda. Na kama kawaida process yoyote inayochukua muda fulani huonesha wazi dalili za matokeo ya mwisho. CCM imetawala Tanzania kwa muda mrefu sana, lakini...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu wa kuja kutusaidia Watanzania

    Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nimemchukia sana huyu mtu na hakuna zuri analoweza fanya likanifanya nimkubali au nisamehe

    Hakika nimechukia huyu mtu vibaya sana na hakuna zuri wala jema analoweza fanya likafuta majeraha au uovu wake katika katika kichwa changu na kamwe siwezi kumsamehe..Nimemchukia sana. Pia, nimewachukia sana wale wavaa sare wanaotumika na huyu mtu na sitaki urafiki kabisa na hawa watu kwani...
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

    Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa sababu waloandamana ni Wageni, asipatikane MTU yoyote kujihusianisha na kile kinachoitwa 'Maridhiano' kwakua MTU huyo Hatasamehewa Yeye na Kizazi

    Hii sio Tanzania ya 1990 !. Tanzania Mpya imezaliwa Tarehe 29/10/2025, Kinachoendelea na kitakachoendelea na Mchakato wa makuzi ya mtoto!!. Sasa , Uzi Huu ni Ushauri na Ukumbusho na Onyo Kwa wooooote wale ambao Majina yao yataoneoana kwenye Karatasi Takataka inayoitwa "Mwenyekiti ,Katibu Na...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least. Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee. Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato. Nategemea ICC...
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

    Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia. Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

    Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

    Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamedhihirisha ni Maadui wa JWTZ, Madaktari, Walimu, Vijana; Tuitikie Walichokianzisha Kila Mtu Kwa Nafasi Yake.

    Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
  20. Chibike

    JamiiForums Tanzania JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
Back
Top Bottom