mtu

  1. JamiiForums Tanzania Tumekuwa na ndoto kama waafrika kwamba itakuja kutokea mtu mmoja wa kutukomboa lakini nasikitika kusema it will never happen

    UBINAFSI ULAFI UKANDA TAMAA UNYAMA UMALAYA WA KISIASA. Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake. Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila mkaishia kuwageuka nyie wenyewe na kuwaua. Mnakula vya watu kwa ulafi huku mkisingizia wazungu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Silence is the best reply to a fool, ukiona mtu ni mjinga mpuuze

    Mjinga anatakiwa apuuzwe... Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga. #A fool is fool never change.
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya mienendo ya kingono na kimapenzi kwa sasa yanahaririwa na pornograph

    NGONO NZEMBE NI HATARI KWA AFYA Sex imekuwa vita sasa hivi, watu wanarushana, kukunjana na kupeana vitu visivyoeleweka, yoote ni kutokana na influence ya porno
  4. JamiiForums Tanzania G strings ndio nguo ya kuombewa msamaha na manzi, bila hiyo bro usikubali kusamehe mtu

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hizi nguo huwa Zina valiwaje? Yani inakuwaje. Ukweli ni kwamba, hizi Zina itwa G string au thog, kikubwa zaidi ni kwamba Zina faida kuu mbili ambazo zitakushangaza kwakweli. 1- Bila shaka umewahi Kumuona mdada kavaa nguo iwe suruali au gauni la kubana ila...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nipo bado kwenye Ndoto; Kile kilichotokea 29 October, 2025 kina mwelekeo na Maandiko Matakatifu?Kwa Report ya Chande hata Lucifer kanyosha Mikono.

    Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:- 1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Inawezekana Samia aliwalenga zaidi ICC aliposema ripoti ya Jaji Chande ni mali ya Raisi na asitokee mtu wa kuidai

    Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti. Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
  9. JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mtu huwa anaelewa Kingereza cha Nigeria?

    Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
  11. JamiiForums Tanzania Vitu gani mtu akiposti mtandaoni unaona ni ulimbukeni na ushamba

    Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu kucomment. Kwahyo kabla hujapost chochote jua kabisa kuwa unapost kwa ajili ya watazamaji, na watakutafsiri...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ulaya haitapinduliwa kwa silaha wala uvamizi bali ukaribisho wao wa kiholela

    Wao wanaazana wawili au mmoja ila waliowakaribisha wanazaana kama kuku.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu amewahi kukutana na bidhaa kwenye Ad na akaipenda ?

    Unakuta kuna video umeitafuta unaiplay mara ghafla video ya matangazo inaibuka kama jipu alafu inakuhesabia muda ili uweze ku cancel, mimi binafsi hizi video huwa sizizingatii kabisa Mara nyingi hata sijui zilikua zinaongelea nini, na kampuni hiyo inayojileta huwa moja kwa moja naiweka kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwe watulivu, busara na hekima itawale asijifanye mtu mwenye nyumba wote ni wenye nyumba

    Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29 Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari na kujiuliza maswali magumu kuhusu mustakabali wa taifa, wakati macho yote yakiwa yameelekezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wameshatuona matakataka: Tanzania kuwa masikini ni mtu kutaka by Makonda

    Kuwa masikini ni utashi wetu. Eti hela iko nje nje.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  18. JamiiForums Tanzania Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

    Utafikiri ni burial center.
  19. JamiiForums Tanzania Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ajira Mpya Halmashauri ya Mkalama DC – Singida hadi mtu aombe mkopo ndio anathibitishwa kazini?

    Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo baada ya kuomba mkopo kupitia ESS utumishi. Je, hii almashauri hadi mtu aombe mkopo ndipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…