mtu

  1. Wafanyabiashara feki wa Hai Mutaendelea kumlaumu Mkuu wa wilaya, Huyu mtu ni Hodari kuliko wengine

    Ni swali lakini mimi nimefikia hatua ya kumsifu Mkuu huyu wa Wilaya. Jionee mwenyewe uhuni wa wasiosikia na kuheshimu binadamu wenzao.
  2. Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

    Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute. Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka...
  3. Je,Unatafuta mtu wa masoko kwa malipo ya commission?

    Habari wakuu, Bila kupoteza muda, Nawasilisha ombi langu la ridhaa ya kutafuta masoko na kuuza bidhaa yoyote halali kama vile ardhi,magari, au bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni,taasisi au maduka binafsi kwa makubaliano maalum ya malipo kwa commission ya asilimia kadhaa kadri...
  4. Z

    Bado Kuna mtu anapinga nguvu ya harmonize kwa Sasa kwenye tasnia ya muziki Tanzania?

    Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
  5. S

    Hivi Tanzania hatuna succession plan ya rasilimali watu? Mtu ana miaka 70 bado anateuliwa tena jamani...

    Prof Iddris Kikula ameteuliwa tena kuwa mwenyekiti wa Tume ya Madini kwa sasa Prof Kikula anamiaka 78 maana yake katika kipindi hichi cha miaka mitatu atamaliza mkataba akiwa na umri wa miaka 81 , sasa tujiulize ina maana Tanzania hatuna succession plan mpaka tumteue mzee wa miaka 78 kusimamia...
  6. I

    Tahadhari: Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani ya Tanzania

    Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021. Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
  7. Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

    Msichana wa miaka 16 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alishika kisu kuwadhuru Wasichana wengine Ma’Khia Bryant amepigwa risasi nne kwa milio iliyosikika kwenye video inayomuonesha Msichana huyo akiwa na kisu. Hata...
  8. Naona kuna mtu hapa katumbukiza ‘coin’ za laki tatu kwenye kimashine cha mchina na kaliwa zote, haya ni matumizi sahihi ya ubongo?

    Halafu mkiitwa mataahira mtakasirika ================================= Update: ================================== Update:
  9. Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

    Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha ..... Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika...
  10. Ukimsalimia mtu na asijibu, maneno gani huwa unesemea kimya kimya

    That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu. Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho. Mimi kwa mtu ninayemfahamu mara nyingi huwa "HUYU mama siji kumsalimia tena huyu mpuuzi"
  11. Rais Samia: Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana

    "Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu. uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo. Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki Wambeya mama...
  12. A

    Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
  13. Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili. Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
  14. Kinacholitesa Taifa kwa sasa ni watu kuwekeza kwa mtu na sio kuwekeza kwa Taifa

    Hiki ndicho kinacho litesa sana taifa kwa sasa na itachukua muda kidogo kwa taifa kuondokana na tatizo hili na kuzifuta element hizi. Hii haikuwa legacy nzuri ambayo JPM ameliachia taifa na ndicho kinacho leta shida kwa sasa kwa wananchi hata sasa bungeni. Kuna haja kama taifa kutengeza mfumo...
  15. Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

    Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana Siffa za huyu mtu 1. Alikuwa mtoro sana 2. Form 2 alianza kuvuta...
  16. Mwambie x wako nimepata mtu niliyemuhitaji

    Amani iwe nanyi Comment hapa kwamba umepata uliyemuhitaji ili utoe hayo ya chini ya moyo ,naanza Mimi X Nimepata niliyemuhitaji
  17. Songwe: Mtu 1 afariki baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita

    Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika...
  18. A

    Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

    Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani? Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye. Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
  19. J

    Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

    Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele. Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
  20. D

    Nguvu ya mfumo humfanya kila mteule (mtu) afanane na aliowakuta

    Nguvu ya mfumo! Ni aina ya genge la watu au taasisi wanaojielekeza kutekeleza malengo flani! Miongoni mwa malengo hayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa, kiulinzi, kiuharifu au Vinginevyo!! Sifa moja kuu ya Mfumo (system) ni kurithisha tabia njema au mbaya kizazi hadi kizazi! Ni binadamu wachache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…