mtu

  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kweli ITV imebadilika, inaonekana Regina Mengi hataki ugomvi na mtu

    Muda mrefu nilikuwa sijaangalia TV, ila wiki hii nimeanza kuangalia, imecheki ITV siku kadhaa na hivi sasa naangalia mjadala wa bajeti. Nilichogundua kuna mabadiliko makubwa sana kwa ITV ya sasa na ya miaka ile, yaani hata hawa wachambuzi wanaoitwa kuja kuchambua bajeti wote ni kumsifu tu...
  4. JamiiForums Tanzania Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu

    Msemo huu unatufundidha sana ni sawa na mtu muongo. Ukiwa muongo utakuwa muongo muongo kuanzia msikitini, bungeni mpaka kwenye familia endapo hutaamua kutubu UWONGO wa mwanzo.
  5. JamiiForums Tanzania Ukiona Mtu anatolea Ufafanuzi 'Dhambi' fulani iliyotendwa nao huku kavalia Miwani 'myeusi' jua ni 'Muongo' sana

    Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanza kutamu asikwambie mtu

    Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia. Basi bwana .... Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni Mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema Arusha. Arusha pia nimeishi ila...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania ==== HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo...
  8. JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani Wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania, ==== HEBU ANGELIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA. Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hoja za Babu Tale bungeni, ninakiri kuna ulazima wa marekebisho ya Katiba kwa sifa za mtu kuwa Mbunge

    Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM. Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo ni kwaajili ya mtu ninayempenda hapa tafadhali pokea

    Kwako mpenzi, Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako. Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi pakuweza kufikisha ujumbe wangu kwako kwa gharama ndogo. Ahsante Jina la wimbo: I called you so many...
  11. JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  12. JamiiForums Tanzania Umri Upi ni Sahihi kwa Mtu Kustaafu kazi?

    Wakuu tujadili umri sahihi kwa mtu kustaafu ni upi? Awe ni mtu binafsi anayefanya shughuli zake mwenyewe au za kuajiriw na kama ni lazima uwe na hela za kutosha kwanza ndio uamue kustaafu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya kumfahamu na kumjua mtu?

    Wataalamu wa lugha naombeni mnieleweshe. N.B kama hujui usicomment nisije nikakupiga bure!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Utam wa asali haujawai kumwacha mtu Salama

  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amelewa anatishia bastola

    Hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zangu mara gafla kuna mtu anatoa bastola. Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi! Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali sana na mtu unayejua au unayehisi anakuchukia

    Ukiona mtu damu yako na yake haziendani yani hakukubali kaa naye mbali jiepushe naye kabisa kaa naye mbali. Kama unanamba yake ifupe upesi usiangalie status zake wala wewe asiangalie status zako. Haijalishi ni shangazi mjomba rafiki nk kwa kuwa tu damu zenu haziivi jiepushe naye
  19. D

    JamiiForums Tanzania Epukeni kuiga mapenzi, wala kufuata ushauri wa mtu, kila mtu ashinde mechi yake

    Kitu mapenzi haina formula; Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani! Fanya mapenzi yako kwa style yako! Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu! Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
  20. JamiiForums Tanzania Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    Siku chache baada ya tukio la kukatika mkono wa kulia, Halima Mbwana aliyepata ajali wakati akiendesha basi la Super Feo lilipokuwa likitokea Songea kwenda Dar es Salaam, ameelezea kilichotokea sikunde chache kabla ya tukio. Kwa sasa Halima anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…