mtu

  1. H

    PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

    Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu...
  2. R

    Mwananchi: Sheikh gani unasimamia uovu, Wakristo ni ndugu zetu kujeni kivingine hili lishadunda

    Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
  3. M

    Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
  4. Sheikh Alfarouk: Kwenye kuapishana kwenu msitumie Msahafu. Mtu hana udhu anakama? Acheni kufanyia kejeli

    Sheikh Haji Alfarouk; "Endeleeni na Siasa zenu, kwenye kuapishana kwenu, msikamate Msahafu, kwasababu mnachoapia ninyi ni kuilinda Katiba mpaka kufa kwenu. Mtu yupo kwenye siku zake anachukuwa Msahafu anaapa, Sheikh awataka Viongozi wa Kisiasa kuachana na kitabu kitakatifu cha Quran"
  5. Kinacho tafakarisha ni kuwa mtu wa kwanza kutufukishia hizi dini alikuja kwa njia ya kutunyonya na kututumikisha ila sasa leo tunavyo zishadadia 😔

    Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa na master wake. WE CAN DO BETTER.
  6. Kwa nini kiongozi Mzanzibari asipokubalika Tanganyika kwa sababu ya Uzanzibari wake inakuwa ni ubaguzi?

    Kwa nini mtu bara au kwa lugha sahihi na iliyonyooka Mtanganyika hawezi kupata kabisa nafasi muhimu za uongozi huko Zanzibar na haionekani ni ubaguzi ila Mzanzibar anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi hapa bara/Tanganyika ila watu wa Watanganyika wakipinga au wasipopendezwa na hili jambo...
  7. W

    PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  8. Hili suala la udini ni kama kuna mtu anatafuta huruma

    Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na...
  9. kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  10. T

    Chakwera si mtu sahihi kuja Tanzania

    Tanzania hatuhitaji symbolic envoy au mgeni wa kutuliza hali. Tunahitaji mtu mwenye meno, mwenye rekodi ya kushughulikia migogoro mikubwa, na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu mbele ya serikali yoyote. Chakwera ni kiongozi soft spoken, wa diplomasia ya kawaida, na hana uzito unaohitajika...
  11. R

    Hivi kuna mtu anasoma upuuzi wa Deodatus Balile

    Nimeuliza, tu maana yule ni chawa bobezi......Nshomile takataka
  12. Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo

    Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
  13. R

    Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

    Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice? Kama Mods will spare this let us educate each other
  14. Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  15. M

    Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  16. M

    Natafuta mtu wa kukata Miti

    Nimefuta maana nimeshapata mtu
  17. PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

    Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani? Hapana. Tutawakosea sana watu hawa
  18. Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  19. Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  20. Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…