mtu

  1. JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari wapo watu ambao ni wawili,watatu, wanne na zaidi ndani ya mtu mmoja

    Hello JF, Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani ya Halima katika mwili kabaki ndani amelala, Halima mwingine yupo Chuo Cha mipango yupo discussion na...
  2. JamiiForums Tanzania Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

    Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka. =================== Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

    Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

    Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo. Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne. Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!. Mara tu baada ya kuianza hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Unaenda kumchangia mtu kwenye biashara yake lakini bado anakuwa na wivu

    Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
  6. JamiiForums Tanzania Unajisikie au unamtafisiri vipi mtu huyu?

    Et jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia
  7. JamiiForums Tanzania Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nimeota mtu kapanda basi na kuku aliyekufa

    Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu. Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ndiye mtu pekee ambaye hakuweza kuvumilia mateso ya wananchi yanayosababishwa na upigaji

    DC Mstaafu Simon Odunga anaandika Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata...
  11. JamiiForums Tanzania Mganga anasema ili Wawe Mabingwa wakubali Kiongozi Wao Mmoja au Mtu wao maarufu Afe kama Kafara

    Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda. Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

    Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa. Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
  13. JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kumuamini kila mtu

    Yaani iko hivi mimi hua namwamini mtu yeyote ili mradi tu hajawahi nifanyia ubaya lakini cha kustaabisha watu wabaya siku hizi hawaji tena kwangu yaani wanakuja watu wema tu na hata nikiwafanyia kazi za kudaiana wananilipa kati ya watu 10 ni wawili tu ndo wanaweza kunidhulumu au kusiwepo kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Video: CCM imeishiwa vichwa vyenye akili bila shaka. Hivi watu wa dizaini hii ndiyo mnawapanga kujibu hoja za mtu kama Tundu Lissu kweli?

    Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science. Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Mtu anaweza kuwa mfuasi wa CCM akawa anajitambua?

    Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua. Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm Hii nchi inahitaji Miaka 100...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake: Kweli mke wa mtu uniombe uje uangalie movie ghetto kwangu?

    Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli? Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini? Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi. Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe. Tafadhali tuyaepuke...
  18. JamiiForums Tanzania Hofu: Nimekuwa mtu mwenye hofu sana kuanzisha mahusiano ya mapenzi mapya kwa kipindi kirefu sasa!

    Habari wanajamii, Hili suala sasa limekuwa likinitatiza sana na kunipa hofu sana kwa kipindi kirefu mno sana. Hapo awali nilikua na mahusiano na binti flani hivi na tulipendana sana katika mahusiano yetu, Kila mmoja alimweshimu na kujali hisia za mwenzake hata ilifikia kuamua kuishi pamoja kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni mpambano mkali kati ya watu 9 dhidi ya mtu mmoja: Wanawaza kunyoosha mikono na kusitisha mpambano! Putin noma!!

    Vs Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…