mtu

  1. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    Napata wakati mgumu kupokea shikamoo barabarani, kwakweli wataki niko teenager, sijui nilikuwa nachukuliaje nikisikia mtu anamiaka 25, 30 nk. Napata mashaka kwamba hata miaka 40 na 50 itafika kiutani utani na nitaanza kuitwa mzee bila mimi kujua nimefikaje fikaje hapo! Uliwezaje kukubaliana na...
  2. JamiiForums Tanzania Kumuita mtu aliyeudakia tu uongozi Mama wa Taifa ni kutudharau Watanzania wenye akili kubwa

    Halafu mnavyozidi Kumchoresha bila kujua ni hapa mnapomfananisha Kimafanikio na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huku mkijua hana hata Miaka Minne (4) Uongozini wakati aliyeitwa Baba wa Taifa alikaa Miaka 23 Uongozini na Kuutengenezea Heshima Kubwa Kimataifa Tanzania yetu hii. Mama wa Taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Usifanye mahusiano na mtu wa aina hii

    Natumai mko poa wana jamvi, Sasa Niende moja kwa moja kwa Mada tajwa hapo juu. Watu wa aina hii ni lazima uwaepuke katika kuingia nao kwenye mahusiano au kufanya nao urafiki wa ndani sana kiasi kwamba Kila jambo lako waweza mueleza. Watu wenyewe ni wa aina hii 1. Mtu ambaye hukufanya ujihisi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ulipaji mapato kwa Serikali umekuwa mgumu sana kwa mtu wa Kawaida

    Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida. Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
  5. JamiiForums Tanzania MTU anaaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Naomba msada wenu wa kitaalam

    Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini. Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate. Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama issue ni kuiwini Kanda ya ziwa basi mtu mwenye ushawishi ni Luhaga Mpina

    Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau. Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo. Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote. Lakini kama issue ilikuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

    Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu ) Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe kila mtu anaona raha upande wake

    Nilizani mnaona raha aina moja kumbe kila mtu yupo na muelekeo wake,ila sasa sijui nani zange ni raha zaidi/ wadau dadavueni hadi kufikia kileleni
  10. JamiiForums Tanzania Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Hospital inayotibu mtu alievunjika mfupa

    Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

    Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani, Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia, Walitupora majina yetu. Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
  14. JamiiForums Tanzania Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

    Wakuu, Hapa duniani Kuna Imani nyingi, Kuna watu ambao hawaamini Mungu (atheists), Kuna waislam,Kuna wabudha. Kuna wakatoliki,wasabato na Kuna hawa wahusika wenyewe (walokole na wengineo). Ninapenda kujua mitazamo yenu juu ya Hawa watu kunena kwa lugha. Je ni Mungu au sio? A) Wanaosema ni...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi. Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

    Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!! Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa...
  17. JamiiForums Tanzania Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

    Wakubwaa eh Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
  18. JamiiForums Tanzania Freemasons tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni “wajenzi huru”

    HISTORIA YA FREEMASONS Kwa kuanzia tujifunze kidogo historia ya kikundi hicho: Freemasons tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni “wajenzi huru” ingawa hawatambuliki kwa jina hilo, lakini kwa asili ni kikundi cha wajenzi. Kikundi hichi kilianzishwa miaka mingi kinadai tangu wakati wa ujenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

    Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote? Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Ukatili ni tokeo la udhaifu fulani ndani ya mtu

    Hello bosses and roses.... Hivi umeshagundua kuwa watu wakatili ni watu ambao wana udhaifu (weaknesses) fulani ambazo hawataki kuzikubali na hivyo kutaka kutumia ukatili kujidanganya (kutengeneza illusion) kwamba wana nguvu au wana control na hali yao kumbe sio. Wengi utakuta aidha ni mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…