mtu

  1. Vien

    Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano. 2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
  2. M

    Leonard Mgina: Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, baadhi wameumbwa kuishi single

    Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao. Akizungumza katika mahojiano na Nurudigital Mgina ameeleza kuwa kuna watu ambao, kwa asili ya mienendo...
  3. M

    Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  4. instinct desire

    Mtu yupo chuo kikuu lakini bado analalamika mitandaoni, sasa hiyo elimu inakusaidia nini kama huwezi kutatua matatizo kisomi

    Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo? Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
  5. C

    Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
  6. Sifi Leo

    Mungu atakuwa wa ajabu kupokea sala ya ambaye anamuweka mtu jela akidai muhaini na huku hana kosa

    Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini. Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
  7. zachariano alexido

    Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  8. M

    Uchawi wa kupeperushwa unaosahaulisha mtu kuhamia nyumba iliyokamilika, kusahau kiwanja, kuhesabu mzigo wa dukani, kusahau deni, n.k

    watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
  9. Traxtion

    Sio lazima kila mtu aanzishe familia

    Naelewa jinsi jamii ya Kitanzania inavyo pressurize watu kuanzisha familia ila kiuhalisia sio kila mtu lazima aanzishe familia (mume, mke au mtoto) Kuna watu hawastahili kabisa kuwa na familia Angalia matukio haya ya 2025/2026 Kuna huyu mwanamke, amemuua mume wake kisa mali, akamfunga kwenye...
  10. Masalu Jacob

    Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?.. Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
  11. The Dictator

    Ndio maana mnaambiwa brand ni muhimu kwa mafanikio yako. Hebu imagine kila mtu anamjua huyu ni nani!!

    Umeshamjua huyu ni nani?😂😂
  12. idiomer

    Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
  13. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  14. Waufukweni

    Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

    Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi...
  15. Waufukweni

    Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa

    "Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima. Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada...
  16. Vien

    Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama watoto wengi wa sasa. Maisha yetu yalijengwa kwenye kanuni, utaratibu na nidhamu kali sana. Mtu...
  17. Traxtion

    Jamii ya Kitanzania iache kulazimishana kuongea na watu, kama mtu huyo hapendi

    Kwa nini Watanzania wanapenda kulazimishana kuongea na watu Unakuta mtu unapenda kukaa peke yako kimya bila kusumbua watu, unashangaa wanaanza kukuuliza mbona huongei na watu, na kuanza kukupangia kuwa unapaswa uanze kuongea na watu Kuna muda unawasikia wanakusema kimyakimya eti huongei na...
  18. A

    KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  19. M

    Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
  20. fimboyaukwaju

    Rockcity Mall,kila mtu ana furaha

    Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha. Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Back
Top Bottom