mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

    Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu... Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike anapswa kusomeshwa sana kumuepushia mazingia hatarishi yanayopunguza furaha na kupunguza siku zake za kuishi

    Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia hizo mmojawapo ni kujiuza.hakuna kitu kinachoniuma sana ninapopita maeneo kama mbeya pazuri na pale...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

    Wakuu habari.. Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan. Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Mtoto wa Biden , zilichangia Kwa asilimia Kubwa sana BIDEN kuzuiwa Kugombea Urais ! Ni vipi Hapa kwetu Tuhuma anazotoa LISSU!!

    Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo? Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko. Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa 2000 tayari kazingua

    Tayari kumeanza kuchangamka kwa mwenzetu Habari picha inajieleza Tumpe ushauri tu mana story inajieleza Edited for more view: Hapo issue iko hv. Mshikaji wangu kazaa na mtoto mmoja wa elf2. Yule binti kaondoka na mtoto kwasababu anakatazwa kuwa anaenda kuomba mboga na vijuice juice kwa majilani...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

    Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo. Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
  9. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine: Mtoto wa Museveni anatishia kunichinja, Muhoozi asema Baba yake ndiye anayemzuia kumchukulia hatua

    Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ni Baba yake Rais Museveni ambapo...
  11. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyozaa mtoto wa 2 nje ya ndoa

    1.JALADA LA KWANZA Hii ni true story. Japo nina ndoa mbili lakini nimezaa watoto kadhaa nje ya ndoa.Hadithii hii ambayo ni ya kweli ni jinsi nilivyozaa mtoto wangu wa pili wa nje ya ndoa. Ni miaka 15 iliyopita nilikuwa mkuu wa taasisi moja isiyo ya kiserikali,ambayo makao yake yalikuwa nje ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Klabu za Jinsia Maskulini Zinavyomuandaa Mtoto wa Kike Kuwa Kiongozi

    Na Ahmed Abdulla, Zanzibar: Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake. Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni. Klabu hizi...
  13. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  15. 5

    JamiiForums Tanzania Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

    Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
  18. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Sifa za mtoto wa mjini

    Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!! Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi...
  20. dubu

    JamiiForums Tanzania Dudley Mbowe, Mtoto wa Freeman Mbowe akalia kuti kavu, dhuruma yamuweka pabaya

    MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
Back
Top Bottom