mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tamu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke amejifungua mtoto wa kichina

    MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI. Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka sasa, yani ndoa yetu ina mwaka mmoja...... sasa...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

    Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe. Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wawili wakamatwa kwa tuhuma za kubaka, mmoja atuhumiwa kumbaka mtoto wa mwaka mmoja na nusu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa huo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) DANIEL...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

    Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani! https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

    Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM. #NoReformsNoElection Picha hapa...
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Mtoto wa Kahaba

    Bagaili ya mambo yote, lengo la mwandishi kuandika kisa hiki anisi siyo kuwapa daawa wasichana makahaba waliyoamua kutumia miili yao kama njia ya kujipatia kipato, la hasha! Bali ni kueleza kwa jinsi gani baadhi ya wasichana hao wamejikuta 'wakijiuza' kutokana na mazingira ya au kukua kwao ama...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania, wanasisasa sasa wanabuni Upya Elimu ya Ufundi ( VETA) kwa watoto wa Maskini

    Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Habar wakuu Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe, Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto wa Elon Musk na Babu Trump wakionekana na furaha tele wakielekea kupanda Helikopta

    jina lake ni Little X
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjekitile Ngombare Mwiru

    Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kike wa Tanga aliyesifiwa kujua Lugha ya Kiingereza kwakuwa kasoma Shule za 'Kata CCM' amewaumbua Wanaomsifia na aliye Ziarani

    Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
  13. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike anatukana matusi kwenye daladala na anasema haogopi mtu

    Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake. Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye. Sasa sijui uyo aneongea nae...
  14. kbosho

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mtoto wa miezi mitatu (3) kua na uzito wa kilo saba? (7)....

    Wakuu naombeni ushauri, ni sahihi kwa mtoto wa kike wa miezi mitatu kua na uzito wa kilo 7? ......
  15. V

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kumpeleka mtoto wa miaka minne boarding?

    Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua kuchukua uamuzi huo baada kutokana na mda mwingi kuwa bize na kazi na kukosa mda wa kutosha kukaa nae...
  16. Zero IQ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu bikra Bado zipo,Nimekutana na Moja Kwa mtoto wa kichaga

    Kama kawaida katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi wakuu , Hamuwezi amini Nimekutana na Bikra ,Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7, awamu hii ndio nimekutana na Bikra,sio Bikra tu ni Bikra Kwa mtoto wa kichaga, Ni kama utani ila ndio hivyo wakuu nimeipasua Bikra ya mtoto wa kichaga ...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka 1 anakohoa sana usiku

    Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa 2years na nusu anakalia mgongo

    Wakuu habari.. mtoto wa miaka miwili na nusu anakalia mgongo kulingana na changamoto za ukuaji anazopitia kama nilivowahi kueleza hapo awali. Ombi langu wataalamu hasa physiotherapist hii hali itabadilika baadae ama laa maana bado hajaweza kusimamia'kutambaa Wala kutembea.😭 #Ahsanteni
Back
Top Bottom