Bagaili ya mambo yote, lengo la mwandishi kuandika kisa hiki anisi siyo kuwapa daawa wasichana makahaba waliyoamua kutumia miili yao kama njia ya kujipatia kipato, la hasha!
Bali ni kueleza kwa jinsi gani baadhi ya wasichana hao wamejikuta 'wakijiuza' kutokana na mazingira ya au kukua kwao ama...