Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya.
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli.
CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"
Sheikh Kulunge
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote .
Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto?
Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii...
Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni.
Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
asiende
bila
birthday
diamond
harusi
jeuri
jeuri ya pesa
katoro
kiingilio
kufanya
kwao
matajiri
mtotomtotowa
mwanza
nyuma
pesa
shoo
show
siku
tajiri
tarime
vita
wakati
Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa
Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli.
Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali.
Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini?
Ni wanataka kujua kuhusu nini?
Nashindwa kuelewa.
Habari wana jamvi,
Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki
Acha tule life
Hatari
Habari wakuu.
Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza??
Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote.
BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi,
Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro?
Haya na wewe uliye...
Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake...
Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia:
"Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.