Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake.
Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu.
Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo.
Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️
Tunaomba msaada wa wananchi wote.
Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana.
📍 Maeneo aliyopotelea:
Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe.
Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe.
Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti meseji ya mshahara imeingia! Kulikua na umuhimu kutuambia suala hilo?! Eti hakuna shida yoyote, uende...
Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.
Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo
Japo siyo wote ....
Kabla ya kuanguka Utawala wa Ghadhafi huyu mtoto wa Ghadhafi alikuwa kama Rais wa pili, leo ameliwa kichwa na Walibya.
---
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Hayati Muammar Gaddafi, Saif al-Islam ameripotiwa kuuawa katika eneo la Zintan nchini Libya, kwa mujibu wa wakili wake.
Hadi sasa...
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo inamfanya Victor kuingia katika orodha ya watoto wa vigogo kadhaa wa siasa ndani ya chama...
Baba yake kuwa madarakani muda mrefu na kumuweka jeshini na vyeo kwa umri aliopo na cheo chake ni kama anaishi kwa baba yake nawaza hilo.
Kejeli anazotoa kwenye mtandao X ,kudhihaki, kuleta taharuki ndani na nje ya nchi yake.
Sidhani kama mtu Rizi one angekuwa anafanya mada za ajabu akijua ana...
Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha
Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka.
Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya...
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three.
Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka?
Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.