mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Rushwa Wodi za Uzazi katika baadhi ya Hospitali za Serikali zinahatarisha usalama wa mama na mtoto

    Wanawake wengi wanaoenda kujifungulia katika Hospitali za serikali wamekuwa wakilalamika juu ya kuombwa rushwa na manesi wakati wa kujifungua ili wapate huduma nzuri. Wamama wengi ambao walikwisha kupata huduma ya kujifungua katika Hospitali za serikali au vituo vya afya wamesema kuwa ili upate...
  3. JamiiForums Tanzania Papa amvua Upadri Padri Munyeshyaka kwa kukiri kuzaa mtoto wa Kiume

    Padre Munyeshyaka raia wa Rwanda aliyekuwa akihudumu katika parokia ya Evreux kaskazini kwa Ufaransa amefukuzwa upadre na hakubaliwa kuhudumu popote duniani kwa kosa la kukiri kuwa na mtoto wa maika kumi. Padre Munyeshyaka pia anahitajika nchi Rwanda kwa makosa ya mauji ya kimbali nchini humu...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

    INTRODUCTION Mimi ni mwanaume Nina miaka 33 Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3. SCENARIO Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa. Binti wa pili. Huyu ndio nahisi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtoto ana kadi tatu za kliniki zenye baba tofauti

    Jamani msaada wa ushauri, Kuna dada nimezaa nae lakini cha ajabu na kushangaza nimekuta kadi za clinic za mtoto mbili, pamoja na ya kwangu jumla tatu! Yaani mtoto yuko na baba watatu, hii imekaaje kitaalamu? Wenye uzoefu na hili jamani msaada wa mawazo.
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  8. JamiiForums Tanzania MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

    Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo. Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

    Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: ''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mama amchoma moto mwanawe kwa tuhuma za kudokoa wali

    Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkazi wa Mtaa wa Sido, Kata ya Ibinzamata, Manispaa ya Shinyanga, amechomwa moto mikono yake yote miwili na mama yake mzazi kwa madai ya kula wali uliokuwa umebaki. Emanuel Kayange ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Sido, amekemea kitendo hicho, huku mtoto mwenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

    Mamlaka ya usimamizi wa Wanyamapori TAWA mkoani Mwanza imefanikisha kuua fisi wawili walioripotiwa kupora mtoto na kumjeruhi katika kijiji cha Nsola kata ya Nsola Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza. Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vipele kwenye paji la uso la mtoto chini ya mwaka mmoja

    Habari zenu Mtoto chini ya mwaka mmoja anasumbuliwa na vipele kwenye paji la uso na maeneo ya kichwani tu ambapo tumemsaidia dawa tofauti za kupaka ikiwepo candidas mara kadhaa haikuweza kumsaidia. Naomba kusaidiwa ushauri ama dawa sahihi ambayo itaweza kumsaidia. Asanteni sana
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi hawana budi kuandaa kesho bora ya mtoto wao

    Kama umezaliwa umekuta wazazi wako wapo well financially, huwezi kulalamika kukosa ajira zetu hizi za laki Saba kwa mwezi. Mzazi/wazazi usifanye Mambo ya kuzaa tu ebu fikiria huyo unayemzaa umemuandaaje kuja kuishi vvizui. Binafsi mambo ya umasikini tunasema tumerogwa lakini Hakuna uchawi...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Unyama aliofanyiwa mtoto huyu ulaaniwe

    Binadamu baadhi yetu wana wivu, chuki na roho mbaya inayowafanya kutumia njia zozote kuhakikisha jambo lao baya linafanikiwa. Soma alichokisema mtoto huyu ambaye ni msanii kutoka Congo namna alivyopata upofu wakati alizaliwa akiwa anaona vizuri. "Mimi sikuzaliwa kipofu, nilizaliwa naona kama...
  17. JamiiForums Tanzania Je, huyu mtoto wa kiume nani anamsaidia au kumshika mkono?

    Kwani hatuna vijana wa kiume walioacha masomo kwa kusababishiwa na wazazi au walezi wao hata wakajikuta wamepotea mtaani? Katika miji na majiji vijana wa kiume wanafanya kazi ya kukata nyasi za mifugo, kuuza kahawa kwenye mabirika, kusafisha vioo vya magari na wengine wapo kwa ajili ya kufanya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua * Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu * Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia matibabu yake na kumpa nuru mpya ya maisha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIJANA Hamimu Mustapha...
  19. JamiiForums Tanzania Sandile Shezi: Tajiri Mtoto wa South aliyekimbia na Mamilioni ya Rand ya Wateja wa Forex

    Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote. ========== Sandile Shezi: Everything to know about SA’s youngest millionaire As The South African reported in the final months of 2021, Sandile...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto ahoji kukaa mahabusu miaka miwili akisubiri kesi

    Mmoja wa watoto wanaohifadhiwa katika mahabusu ya watoto Upanga, jijini Dar es Salaam, amehoji kukaa mahabusu kwa miaka miwili sasa, akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake inayomkabili. Mtoto huyo aliyekuwa mahabusu hapo kwa kukinzana na sheria akikabiliwa mashtaka ya mauaji, alibainisha hayo jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…