Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Mpaka hii leo nashindwa kufanya shughuli zangu, nashindwa kula vizuri, nashindwa karibu kufanya mambo yote kwa sababu ya mambo yanayoendelea katika nchi yangu Tanzania.
Nina maumivu makubwa mno moyoni mwangu kiasi kwamba upande wa kushoto wa moyo wangu haupo vizuri.
Najikuta nashinda...
MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025.
JIBU MASWALI YOTE.
Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂
1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15)
2. Umenunua zawadi...
MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025.
JIBU MASWALI YOTE.
Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂
1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15)
2. Umenunua zawadi...
Kuna mama,
Mshahara wake ni chini ya laki tatu, anaishi na watoto wa kijana yake ambae ashafariki.
Watoto bado wanasoma.
Basi yeye na mme wake wamepambana weee mpaka wamesimamisha nyumba ya kuishi huko mbele ya mbagala huko. Nje ya jiji la DSM.
Nyumba ni zakawaida tuu. Za kipato cha chini...
Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto.
Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
Anonymous
Thread
msingi
mtihani
ngazi
shule
shule ya msingi
usimamizi
walimu
Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
Habari wana JF? nahitaji msaada wa majibu katika mtihani huu kwa kiswahili. kiukweli mimi umenishinda kabisa ni mtihani wa online
1. Ipi kati ya chaguo lifuatalo inawakilisha njia sahihi ya kuandika tarehe?
a. 29 Novemba, 2020
b. 29,11,2020
c. 29/11/20
2. Ikiwa msemaji anafanya kosa la...
Mwalimu Makoba Open School inawakaribisha kufanya mitihani ya kujipima na mtihani wenu wa mwisho wa kidato cha nne, Sita na QT
Hakuna gharama yoyote katika mitihani hii.
Mambo Yaliyopo:
Utafanya mtihani
Utasahihishwa
Utafanyiwa masahihisho na kuelekezwa namna bora ya kujibu mtihani wako...
Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana.
Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema.
Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria...
Swali la baadhi ya wananchi;
Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe?
JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko...
Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
Nimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA
Mwamba...
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.
Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping...
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
Hata vitoto vya Alfu mbili havi 'behave'..namna hiyo.... we bi.mkubwa ni vipi? wewe ni mtu mzima mwenzangu na wote kwa sasa tuna wajukuu.....
Tunayapanga fresh mambo ya ki utu uzima then unauza gazeti zima kwa shoga yako,,,,,daah! nishai sana...... mimi sina hili wala lile...shoga yako...
Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English
Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye...
Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.