mti

MTI Consulting is an international management consultancy with operations in Middle-East, Americas, Europe, Asia and Far-East. MTI Consulting was founded in 1997 with its headquarters in Bahrain. MTI Consulting has worked on 650 client-specific projects in 43 countries across 5 continents.
This includes assignments on Strategic Planning, Re-Structuring, Process Re-Engineering, Marketing (covers Branding, Channels, Sales,Service), International Market Entry, market intelligence, Human Resources Management and Web / Technology Optimization.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

    Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani . Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno ! Unaweza kumsikiliza dogo...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chadema ni mti wenye matunda, kila mja anaurushia mawe

  3. BABU KIDUDE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

    Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo sijui. Kama ilivyo kawaida japo tuna Dada wa kazi lazima tupate mtu wakukaa na Mzazi hapo ndo...
  4. manchoso

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Covid-19 kutoka Madagascar ni pigo kwa Mabeberu

    Mti huu sio mgeni kwa tiba kwa baadhi ya nchi za Africa, siku za nyuma pia ulikuwa ukitumika kutibu malaria na maradhi mengine madogo madogo, Madascar wameendelea kugawa bure na kuhamasisha wananchi kutumia dawa hiyo Sio mti kama mti unaotibu covid 19 bali wenyewe wanachanganya na baadhi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dawa murua ya mti Shamba ya kutibu kikohozi

    Jana wakati napitia Uzi mmoja kuhusu yiba za asili,nikambuka marehemu Bibi yangu. Utotoni Bibi alionionesha mti fulani ambao ukisikia kikohozi unakata kipande unakipitisha kwenye Moto unatafuna na kumeza maji yake. Ukifanya hivi Mara tatu kwa siku kikohozi kinakata. Nakumbuka nilikuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti CHADEMA ni sawa na tunda la mti wa katikati pale Eden, ukiligusa tu unatupwa nje ya Bustani kama Zitto, Sumaye na Mwambe

    Kiukweli kitendawili cha nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA ni kigumu sana kukitegua. Kwanini Mwenyekiti yuko madarakani kwa zaidi ya miaka 20, ndilo swali kuu! Je, ni demokrasia, ubabe au udikteta? Kwanini kila aliyetamani kuwa Mwenyekiti wa Chadema leo hii hayuko katika chama hicho chenye...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mti wa matunda vs Mti wa kivuli

    Habari za wakati huu? Kuna mambo mengi sana ambayo mtu anaweza kuyafanya katika maisha yake hapa duniani, lakini hata kama utayafanya yote ila usipofanya jambo moja tu basi hakuna umuhimu wa wewe kuwepo duniani. JAMBO LA MUHIMU KULIKO LOTE NI KUHAKIKISHA KWAMBA KATIKA MAISHA YAKO HAPA DUNIANI...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mti wa Krismasi wa JKIA umebadilishwa baada ya Wakenya kuonekani kituko mtandaoni

    Mti wa Krismasi wa JKIA ulikuwa kituko kwa Wakenya mtandaoni umebadilishwa masaa kadhaa baada ya kuwafanya wakenya kudhihakiwa. Wafanyikazi wa uwanja wa ndege walionekana wakiweka pamoja mti mpya wa Krismasi wa JKIA Jumatano usiku. Hata hivyo hakukuwa na taarifa yoyote kutoka kwa Mamlaka ya...
  9. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Sijui nimekosea wapi chapati zinavunjika kama mti mkavu

    Mambo ya kuthubutu haya sometimes noma sana!! Yaani nimejifunza humu humu JF jinsi ya kupika Chapati. Sasa leo si wageni wakawa wengi hapa home yaani wageni wa kike, nikaona hapa ndo pa kuchukua ujiko. Mwanaume nikafuata hatua zote tena kwa kusoma, nikapika kama chapati nnehivi!!! Kila...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Huu mti umeanza kutoa maua baada ya miaka 20, niukate au niuuze kwa gardeners?

    Huu mti ni aina ya Cactus kama sikosei, tangu ulipopandwa mwaka 1999 sikuwahi kuuona ukitoa maua, hadi leo ndio nimeona maua yake. Tunatakiwa kuuondoa ili kupisha ujenzi, kuna mtu anautaka nimuuzie?
  11. Kayoka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mti huu ni aina gani?

    Salaam Wanajukwaa hapa JF, Tafadhali naomba kujua aina ya huu Mti, matumizi, faida na hasara zake kwa jamii. Nimeukuta shambani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habari, Naomba kuuliza kuhusu erolink kama bado wanamkataba na Voda na pia ofisi zao kwa sasa zipo wapi. Pia, naomba mnisaidie kujua ofisi za Tigo,Voda na Airtel wanapopokea CV.
Back
Top Bottom