mti

MTI Consulting is an international management consultancy with operations in Middle-East, Americas, Europe, Asia and Far-East. MTI Consulting was founded in 1997 with its headquarters in Bahrain. MTI Consulting has worked on 650 client-specific projects in 43 countries across 5 continents.
This includes assignments on Strategic Planning, Re-Structuring, Process Re-Engineering, Marketing (covers Branding, Channels, Sales,Service), International Market Entry, market intelligence, Human Resources Management and Web / Technology Optimization.

View More On Wikipedia.org
  1. Kenya: Apigiliwa misumari kwenye mti kama Yesu kwa tuhuma za kuiba redio

    Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
  2. Silinde: Kila mwanafunzi apande mti mmoja, zoezi liwe endelevu

    Wakuu wa mikoa na wilaya wametakiwa kusimamia kila mwanafunzi kupanda mti mmoja kila mwaka katika shule za msingi na sekondari ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoathiri sekta ya elimu ikiwemo kusababisha udumavu kwa watoto shuleni. Pia, maofisa elimu wa mikoa na...
  3. Nilivyonusurika kifo juu ya mti

    Tukio lililonitokea nikiwa darasa la tatu. Ikiwa muda wa masomo umemalizika, nikiwa na wanafunzi wenzangu, tunapita jirani na mti wa mzambarao. Mti ule ulikuwa umesheheni zambarao zilizoiva na nono zaidi, wale waliyopitia maisha haya nadhani wananielewa vizuri. Mti huo ulikuwa mrefu mithili ya...
  4. Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Starehe ya mwanaume ni kuwa na mwanamke anayeweza kuzungusha kichongeo chake kwenye penseli ili ichongeke vizuri. Hivi vichongeo vikubwa (chura) huwa havichongi vizuri penseli, badala ya kujizungusha vizuri ili penseli ichongeke vizuri, inakuwa ni tofauti; penseli inakuwa haina makali na haitoi...
  5. D

    Tazama vile viumbe tunavyotumia mbao kwa wingi! Lakini kuna mtu humu hajawahi hata kufikilia kupanda mti hata mmoja

    Binadam tunalalia vitanda asilimia kubwa ni mbao! Ebu waza idadi ya kaya mtaani kwako halafu uzidishe kwa taifa zima utagundua ni miti mingi imepotea kutengenezea hivyo vitanda! Waza idadi ya majumba, kila nyumba ina milango ya mbao, kenchi za mbao, madilisha ya mbao na makabati ya mbao hakika...
  6. Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  7. Msaada wa dawa ya kutibu ukaukaji wa matunda kwenye mti

    Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani. Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi
  8. Muotesha mti si lazima afaidi kivuli na matunda yeye mwenyewe

    Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa. Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia. Maisha magumu mtaani. Ukweli ni kwamba Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact) Maana halisi ya heading yangu ni kwamba: Kuifanya nchi...
  9. Msaada jinsi ya kutumia unga wa mti wa mvunge

    Doctors, naombeni msaada jamani wa dhakari ndogo kwa kutumia dawa za asili na miti shamba. πŸ™ Au kama kuna yeyote mwenye kujua dawa naomba msaada. πŸ™πŸ™πŸ™
  10. Mkuyu ni Mti gani?

    Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU. Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila...
  11. Musoma-Mara, watoto 40 wanasomea chini ya mti, wazazi waamua kujenga madarasa

    Watoto 40 wa darasa la awali, katika Shule ya Msingi Buraga Mwaloni, Kata ya Bukuma, Musoma Vijijini mkoani Mara, wanasomea chini ya miti, hali iliyowalazimu wazazi kujenga madarasa kwa ajili ya watoto wao. Chanzo: Nipashe __________________________________________________________ Naomba...
  12. Naomba nifahamishwe nama ya kutumia Mti wa MVUNGE kwa maradhi udhaifu wa mwili

    Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya kutumia mti huo na jinsi ya kuupata mti huo tunaomba msaada.πŸ™πŸ™πŸ™
  13. M

    Nimemsikiliza vizuri Askofu Gwajima, nina maswali machache juu ya nadharia yake

    Nimesikiliza kwa umakini sana juu ya mambo aliyoyasema mchungaji Gwajima. Nina maswali machache sana juu ya nadharia yake juu ya korona na namna alivyosema na kuaminisha watu: 1. Yeye ni mtumishi wa Mungu na anaamini Mungu ni alfa na omega na hashindwi na chochote, sasa kama ni hivyo kwanini...
  14. Mti wa Mvule au "Milicia exelecia" ni mti wa mbao

    Jina lingine ni iroko. Ni mti wenye mbao imara ambazo pia hard wood. Unapatikana Afrika kwenye misitu ya mwambao wa bahari kutoka Benin mpaka Angola, Msumbiji Lamu Madagascar. Inasadikika miti hii inafuga mashetani, kule Benini sadaka hutolewa chini ya mti huu hasa kwa wenye matatizo ya...
  15. J

    Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  16. Hii gari ilifikaje hapo juu ya mti?

  17. M

    Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

    Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi...
  18. Kibonzo cha Kipanya; mti umekatwa

    Huu mti ulikua imara na mizizi yake iliulinda mti huu usianguke. Aliyeukata mti huu ana nyenzo imara kama chainsaw.
  19. Hivi kwa nini wanaume wako tayari kuwa na wanawake wenye mahusiano mengine tofauti na wanawake walivyo?

    Mapenzi ni hasara tupu... Za mida... Nimekua niko namawazo sana hii siku sijui labda ni kwa sababu sijaona sms ya nimpendae ikiji display..... But namaswali machache... Ivi kwa nini wanaume wengi huwa tuko tiari kuwa spare tier sana Nikimaanisha kuwa vijana wengi tuko tiyari kuwa na mke wa...
  20. Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

    Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani . Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno ! Unaweza kumsikiliza dogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…