mti

MTI Consulting is an international management consultancy with operations in Middle-East, Americas, Europe, Asia and Far-East. MTI Consulting was founded in 1997 with its headquarters in Bahrain. MTI Consulting has worked on 650 client-specific projects in 43 countries across 5 continents.
This includes assignments on Strategic Planning, Re-Structuring, Process Re-Engineering, Marketing (covers Branding, Channels, Sales,Service), International Market Entry, market intelligence, Human Resources Management and Web / Technology Optimization.

View More On Wikipedia.org
  1. yello masai

    JamiiForums Tanzania MTI HUU NA FAIDA ZAKE KATIKA UJENZI.

    Wakuu, Huu mti unaitwaje? Je una sifa gani katika ujenzi hasa kupauwa? Mbao zake zina uwezo wa kuhimili wadudu waharibifu na mchwa?
  2. Jaws

    JamiiForums Tanzania Mpopoma - Mti Usiokuwa na Kazi. Epuka Kuwa (M)Popoma!

    MPOPOMA - Mti usio na kazi Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana. Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa sababu hauna kazi. Na matokeo yake, umekuwa miongoni mwa miti mirefu hifadhini Pugu Kazimzumbwi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uponyaji kupitia kukumbatia mti au kutembea msituni

    Miti ni waponyaji. Unapokaa chini ya mti au kuukumbatia, unahisi nishati yake ya uponyaji. Ina nguvu ya asili inayotuliza akili na mwili. Katika nchi kama Japani, kuna tiba inayoitwa Forest Therapy (Shinrin-yoku) — yaani tiba ya kuwa msituni — ambayo hutumika kusaidia watu waliokumbwa na...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi Adamu alikatazwa kula tunda gani? isije kuwa mti wa kati ni huu aliokuwa nao Eva) Hawa sisi vijana wa sasa tunahangaika nao

    Yesu alikufa bikra wa kiume hakutaka kujushughulisha na hisia,aliishi kukemea na kuabudu. tunapata picha kuwa sex ni inshu ya energy consuption ibilisi anaweza akakukosa wewe na akaingia kwa mwanamke na akaweza kutrap your mind. Inawezekana mungu alimkataza Adamu asilisogelee tunda lakini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama wanautendea mti mbichi namna hii, je mti mkavu?

    Jiulize wewe mwananchi wa kawaida unayeishi Mbagala, Mbuye , Gongo la mboto na Kasagala je upo salama? Matumizi ya dola....
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania INSPIRATION: Kata Mti, Panda Mti

    Kuna miti ya huzuni, ya majuto, ya kushindwa, na ya hofu iliyoota kwa miaka mingi ndani ya nafsi yako. Lakini leo, ujumbe wangu kwako ni huu, kata mti, panda mti. Kata mti wa kukata tamaa, panda mti wa tumaini. Kata mti wa uchungu wa jana, panda mti wa furaha ya kesho. Kata mti wa lawama...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mti uliotoa machozi Dumila

    Nimefuta
  10. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Waafrika: Anayeabudu jiwe ili abarikiwe anamcheka anayeabudu mti Kwa kuamini atabarikiwa

    Wakuu, Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa. Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Taharuki yazuka Geita mti ulioanguka wasimama tena ghafla

    Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata. Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Bembea na mabenchi kwenye mti wako mkubwa

    Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli. Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama alivyotushauri mwalimu katika kitabu cha muhubiri japokuwa nayo yote ni bado kujilisha upepo ila ni...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa mti wa sequoia

    Huu ni ukubwa wa Mti wa sequoia ikilinganishwa na binadamu. 🌲 Kile ukionacho mbele yako sasa ni kiumbe hai kikubwa zaidi Duniani na jitu kubwa zaidi ndani yake.. mti mkubwa wa sequoia. Sequoia inachukuliwa kuwa kiumbe hai kikubwa zaidi ulimwenguni na miti iliyoishi kwa muda mrefu zaidi...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mti maarufu soko la Nyasho ukatwe ili kujenga soko? Kwa nini isiwe sehemu ya kuenzi historia? Wachora ramani mnafeli wapi kujumuisha nature?

    Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
  15. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

    Salam wakuu. Ninahitaji mtu wa kunisaidia kupata matunda yake. Mwenye access nao naomba anicheck DM. Nina uhitaji kwa ajili ya matibabu.
  16. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Urathi wa siasa za 2024: Lissu ameukata mti (CHADEMA) halafu anataka aukwee wakati tayari umedondoka chini

    Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu. Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo amelibomoa. Lissu amekata mti, baada ya kuukata, sasa anasema anataka aukwee mti huo. Hii ni moja kati ya...
  18. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaibuka Syria kufuatia kuchomwa kwa mti wa Krismasi

    Maandamano yameibuka nchini Syria kufuatia kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na jiji la Hama. Video iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wapiganaji waliovaa barakoa wakichoma mti ulioonyeshwa kwenye uwanja mkuu wa Suqaylabiyah, mji unaoongozwa na Wakristo katikati ya Syria...
  19. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni

    Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni rangi yake sasa kijanijeshi, kaniki, jano😎
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwili wa asiyejulikana wakutwa chini ya mti Tabora

    Mwili wa mtu ambaye hajatambulika umekutwa pembezoni mwa barabara chini ya mti wa muembe katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Tukio hilo limeripotiwa baada ya wakazi wa eneo hilo kuona nzi wakiruka katika eneo husika. Mkazi wa eneo hilo, Dorothy Fungamizi...
Back
Top Bottom