mti

MTI Consulting is an international management consultancy with operations in Middle-East, Americas, Europe, Asia and Far-East. MTI Consulting was founded in 1997 with its headquarters in Bahrain. MTI Consulting has worked on 650 client-specific projects in 43 countries across 5 continents.
This includes assignments on Strategic Planning, Re-Structuring, Process Re-Engineering, Marketing (covers Branding, Channels, Sales,Service), International Market Entry, market intelligence, Human Resources Management and Web / Technology Optimization.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 9 Walioanza Elimu ya Msingi Kititenebo, Chini ya Mti Wahitimu Darasa la Saba, Mbunge Lekaita Awatabiria Makubwa

    Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) leo tarehe 22 Septemba 2023 katika Shule ya Msingi Kititenebo ikiwa ni mahafali ya kwanza tangu kuanizshwa kwa shule hiyo. Akizungumza...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti

    Jeshi la Polisi limeona video hii fupi (clip) ikimwonesha Mtoto aliyefanyiwa vitendo vya ukatili na udhalilishaji na limeanza kuifanyia kazi kuanzia ilipoanza kusambaa ili aliyefanya kitendo hicho cha kinyama kisichokubalika aweze kukamatwa na hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. Mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga ni kama ule mti wenye matunda mtaani

    Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na wachache wakiiandika kwa mazuri. Lakini lengo lao kubwa kupata attention. Kuna wengine hawana hoja kutwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

    Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda. Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila tunataka tuikate tupande mingine maana hii kwanza inapendwa na popo ambao huharibu mazingira kwa kinyesi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga. Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi. Mtine ni...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 "Mwiba wa mti huonekana, wa moyoni hauonekani"

    MWIBA WA MTI HUONEKANA, WA MOYONI HAUONEKANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Methali ni usemi mfupi ambao una ujumbe wa maadili. Methali nyingi zina ujumbe wa kina ambao unaweza kusaidia katika kuelewa maisha na kuwa na maadili mema. Moja ya methali maarufu ni "Mwiba wa mti huonekana, wa...
  7. JamiiForums Tanzania Milunda inauzwa bei chee, 3000 kila mti ipo miti 1500

    Miti ipo Suma Katumba Rungwe Mbeya. Leta hela jichukulie miti, ni minene inafaa kwa ujenzi wa aina yoyote. Ipo barabarani kabisa ukifika Suma Secondary ni hapohapo barabarani shamba lilipo. Kama unavyoiona pichani. Serious buyer piga simu: 0658615426.
  8. JamiiForums Tanzania Mti wa mitunda ndiyo hupigwa mawe, uislamu utakuwepo na utazidi kuwepo! Allah akbar

    Imam Mwanamke' Amina Wadud: Kutoka kufasiri Quran hadi kuongoza sala ya Ijumaa Mmarekani mwenye asili ya Afrika, Amina Wadud - ambaye alichagua kuandika jina lake kwa herufi ndogo, kulingana na herufi za Kiarabu ambazo hazitambui herufi kubwa - alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza sala ya Ijumaa...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa za mapenzi ya kibatari mlipuko na utambi wa sanda na Karatasi ya kupepea kwenye mti. Tabora ni baba lao

    Niende kwenye mada wanyamwezi ni nyoko si mwanaume si mwanamke mapenzi yao wote ya kichawi, mvuto na wito wa kutumia dawq kumuita unaemtaka. Hivi mkoa wa tabora sikonge wanyamwezi huu upuuzi wameutoa wapi. Kizinde changu kimewashinda kila walichojaribu wapi mwamba nimeiva. Leteni visa...
  10. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu huu mti?

  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

    Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles). Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mti wa ajabu huku Kigoma umenishangaza sana, jina lake unaitwaje?

    Nilikuwa pande za Kigoma vijijini huko, kwenye kutembea nikakutana na huu mti, sema wenyeji hawaujui jina kwa kiswahili. Anyejua jina lake atuambie.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  14. JamiiForums Tanzania Kuna utaalamu wowote unaweza kufanywa kwenye mti ili mti usizae matunda?

    HERI YA MWAKA MPYA. Ndugu zangu wataalam wa kilimo,hivi kuna utaalamu wowote unaweza kufanywa kwenye mti ili mti usizae matunda? Nauliza hivi kwa sababu kuna sehemu nimepanda miti ni mizuri ila tatizo lake inazaa vitunda vidogo vyekundu ambavyo vinapendwa na popo na popo hao wakishakula hivyo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ujue 'Ghost Tree', mti unaowaka kama taa usiku

    Ghost Tree sterculia urens ni mti wa asili unaopatikana kwenye Tropical Rainforest, kwa Tanzania miti hii huonekana sana kwenye misitu ya Tao la Mashariki, inayoanzia milima ya Kipengere hadi Mlima Kilimanjaro. Mti huu wa ajabu ambao hamna aina ya nyani anaweza kuupanda huwa ni mrefu na...
  16. JamiiForums Tanzania Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

    Wakati tukielekea kwenye sherehe kubwa inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikiristo ulimwenguni kote Christmas. Nimekuwa nikiona watu wanapamba nyumba zao na mti almaarufu Christmas tree. Naomba kujuzwa historia ya matumizi ya xmass tree, kuna uhusiano gani wa tukio lenyewe na mti huo.
  17. JamiiForums Tanzania Unafahamu mti aina ya Pachira Aquatica/money tree?

    Katika mizunguko yangu nimekutana na mti unaozaa matunda amabao ndani yake ni kama karanga, katika kudodosa mtandaoni nikagundua unaitwa PACHIRA AQUATICA. Mti huu hufahamika zaidi kama mti unaoleta bahati au money tree. Wenyeji huita karanga pori, nimeona wengine wakichanganya na kuuita...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini naupenda mti huu

    Kwanini naupenda mti huu. Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu . Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia , Na shule inakaribia kufungwa , Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya...
  19. JamiiForums Tanzania Mnazi na wenye mafaniko

    MNAZI NA WATU WENYE MAFANIKIO Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa. Leo tutaangazia habari ya Mti wa Mnazi na namna ulivyo na ufanano na watu wenye mafanikio. Bila shaka baada ya andiko hili tutakuwa tumejifunza mambo fulani yenye...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Kifaru cha Urusi chadondosha wanajeshi na kugonga mti kwenye harakati za kuikimbia Ukraine

    Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda..... The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…