Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ...
Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha.
Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe.
Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti meseji ya mshahara imeingia! Kulikua na umuhimu kutuambia suala hilo?! Eti hakuna shida yoyote, uende...
Eti tumetenga billion 2 za content creators , ikumbukwe kwamba hata mo 29 maandamano yalichochewa mtandaoni kwa kiasi kikubwa hasa tiktok, fb na instragram.
Paul Makonda kawekwa pale kimkajati zaidi ili kunyamazisha gen z mtandaoni na strategy aliotumia nikuanza kuwavuta content creator mwisho...
Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi...
Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania?
Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.
Akizungumza na wananchi wa...
My people,
Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao
Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka
Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati...
It's very unlikely hiyo D25 kwa watu kotoka na kuandamana kwa wingi kama ilivyokuwa O29.
Ila hilo ndio lengo halisi, serikali ijitutumue kisha ionekane inakandamiza haki za wakristo, siku ya Krismasi wamefungiwa ndani.
Ukisoma kwa makini matamko ya serikali ya Marekani pamoja na baadhi ya...
Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio
Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani.
Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani.
Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
Kukubali kushindwa ni hatua moja ya kuwa mshindi wa kweli. Ni njia ya kujifunza, kukua, na kuona mambo ambayo zamani hukuweza kuyaona.
Katika nchi hii, hakuna chama kikubwa na chenye historia ndefu kama CCM. Tunaweza kukosoa, tunaweza kulalamika, lakini ukweli unabaki kwamba CCM imejenga...
D9 Police inatakiwa Disiplini yetu iwe juu nidhamu ya hali ya juu sana huu ni mtego kwenu.
Tumeona mauji ya October 29 police na vyombo vya dola vimefanya mauaji makubwa ya watoto...
Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena.
GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS
Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea.
Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha.
Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha...
I salute you kinsmen.
Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka..
Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo.
Huyo bwana kitaalamu ni kocha kabisa na ana vigezo vya kusimama kwenye pitch line.
Huyu alikuwa na...
Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu.
Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!.
( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23.
Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye jeshi la DRC. Na intelligensia ya Rwanda, inazo taarifa kamili na majina.
Rwanda inadai kwanza, FDLR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.