mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  3. JamiiForums Tanzania Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  4. JamiiForums Tanzania Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ugunduzi: Kijana Mtanzania atengeneza mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa

    Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii. Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
  6. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    Habari! Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka. Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea. Mtanzania akiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mtanzania wa kuishi na kimaendeleo upo mikononi mwa dola au yeye mwenyewe?

    Wanna jamvi? Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia. Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
  10. JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    Mombasa. Wakati bado kukiwa na taharuki kutokana na tukio la mauaji ya watu watano wakiwemo askari polisi watatu lilitokea jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, nchini Kenya vyombo vya usalama vinamshikilia raia wa Tanzania kwa tuhuma za ugaidi. Mtanzania huyo ambaye mamlaka...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Sayansi ya Kilimo irudishwe na ifundishwe shuleni kama somo la Msingi kwa kila Mtanzania

    Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza. Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari. Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
  12. JamiiForums Tanzania Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  13. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Mtanzania, sio "Mama wa Kizanzibari"

    Salamu Wakuu, Ni aibu kubwa kwa Mwanachama wa CCM, kumuita rais wa Nchi ya Tanzania eti ni Mama wa Kizanzibari. Hii ni fedheha kwa chama na Serikali na Taifa kwa Ujumla. Nchi yetu imejijengea heshima kwa kuheshimiana na kuwa na Usawa, sasa haya Mambo yanatoka wapi? Wasiwasi wangu ni hawa...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

    Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala ambao mtu alikatwa shilingi 2700 sasa anakatwa karibu elfu tano nzima. Mtanzania wa chini alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mzembe, mvivu huona kila kitu anaonewa kwake kulalamika ndio silaha kuu na huyu ndo Mtanzania

    Ndugu Leo tuongee kidogo kuhusu maisha yetu halisi hapa tujiseme, tujitukane hii italeta taswira mpya kamasio sisi basi hata uzao wetu huenda ukawa Bora. Sisi n hatupendi kufanya kazi lakini tunataka tuwe napesa mfukoni je tutazipata vipi bila kufanya kazi tena sio kufanya kazi tuu bali n kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyebahatika kuiona bajeti ya TARURA 2021/2022 kwa kila halmshauri nchini tafadhali?

    Hali ya Barbara za Halmashauri za wilaya maeneoya vijijini NCHINI ni mbaya. Kuna uwezekano TARURA haijapewa fedha kuanzia July 2020 Kwa ajili ya bajeti ya 2021/2022. Au serikali inasubiri Nini kutatua changamoto ya Barabara za vijijini? CCM imenyamaza kimya ilihali waliomba kura na kupewa kura...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mbio za mita 42,000 Olimpiki kuna Mtanzania anakimbia?

    saa 6 na nusu usiku wa manane. marathon mita 42000 inaendelea. nataka kufahamu kama kuna mkimbiaji kutoka Tanzania maana nimechungulia mpaka nimechoka simuoni.
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    WanaJF salaam, Naitwa Dayone, kitaaluma mimi ni mwalimu na karibu tujadili mfumo wa elimu yetu na jinsi elimu ilivyo na thamani kubwa kwa watoto wetu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Nchi yetu kwa sasa ina tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Haki ya kila Mtanzania kupata Chanjo ya COVI 19 sawa na Ibara ya 12 na 13 za Katiba yetu ya 1977

    Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…