mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

    Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA? Mwenye Ufahamu atujuze
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

    Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - : Maji tunalipia Umeme tunalipia Elimu tunalipia Hospitali tunalipia barabara tunalipia Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
  3. omtiti

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

    Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono? Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...
  4. Baraka sheni

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi nina elimu ya kidato cha nne

    Ndugu poleni na majukumu. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza kupita kiasi ndugu zangu kiukweli hali yangu sio nzuri. Nilikutana na Engineer #ushimen akajaribu kwa kila namna...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

    Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake na kuvitupa mtoni huko nchini Marekani na hatimae akakamatwa na kuhukumiwa Maisha. Kuna hii story...
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu ameshinda Nobel Price in Literature

    Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

    Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah Source: Al jazeera Mungu ni mwema wakati wote ===== Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature) Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha...
  8. Cambodian

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  10. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi: Kijana Mtanzania atengeneza mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa

    Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii. Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    Habari! Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka. Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea. Mtanzania akiwa na...
  15. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mtanzania wa kuishi na kimaendeleo upo mikononi mwa dola au yeye mwenyewe?

    Wanna jamvi? Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia. Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    Mombasa. Wakati bado kukiwa na taharuki kutokana na tukio la mauaji ya watu watano wakiwemo askari polisi watatu lilitokea jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, nchini Kenya vyombo vya usalama vinamshikilia raia wa Tanzania kwa tuhuma za ugaidi. Mtanzania huyo ambaye mamlaka...
  18. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sayansi ya Kilimo irudishwe na ifundishwe shuleni kama somo la Msingi kwa kila Mtanzania

    Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza. Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari. Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  20. Ophonso

    JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

Back
Top Bottom