mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania King daz, kijana alieonesha jumba lake la kifahari mtandaoni, source ya pesa zake ni nini haswa?

    Habarini Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁 Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pande 2 za vijana wanaokosoana mtandaoni kwa sababu ya misimamo yao ndani ya chama chao

    Nionavyo mimi: 1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana. Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides". 2) Kwa upande mwingine, ni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

    Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi ninatembea na risasi, nitaogopa mawe ya mtandaoni?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nini lilikufanya mpaka ukasema hutokuja tena kuwa na mahusiano na mtu uliyekutana nae mtandaoni

    Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu 🤣Dah filter ipigwe fine wazee Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena...
  6. JamiiForums Tanzania Mitazamo hasi ya wanajamii mtandaoni na katika maisha halisi, huwasababisha wengine kutokuwa wakweli

    Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika. Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na angependa kuizungumzia ili kupata msaada au kuwasaidia wengine kujifunza; mtu huyo itambidi atumie nafsi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria ya Mikopo ya Mtandaoni bado inavunjwa kwa kutoa siri za mteja

    Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa. Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yatoa Mafunzo ya namna ya kuwa Salama Mtandaoni na Utoaji Taarifa Sahihi kwa Umma

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali. Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona kama Mikopo ya Mtandaoni inaendelea licha ya BOT kukataza?

    BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake. Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu? PIA SOMA - BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Dalili za Mtoto Anayepitia Unyanyasaji Mtandaoni Cyberbullying

    Unyanyasaji wa Mtandaoni, unazidi kuwa tishio kubwa kwa watoto kila mahali duniani. Dalili zake mara nyingi hazionekani moja kwa moja, lakini zinaweza kufahamika iwapo kirahisi kama tu mzazi au mlezi utaweka umakini kwa mwanao. Mtoto aliyeathirika anaweza kuonekana mnyonge au mwenye huzuni kila...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wana tamaa sana kwenye biashara za mtandaoni

    Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000 Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  13. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

    Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza. https://www.facebook.com/share/r/poog7wqSU6Y4K2Dp/
  16. JamiiForums Tanzania BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni. Meneja...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Hatua kali zichukuliwe kwa watoa Mikopo wa mtandaoni kama SWIFT FUND LOAN

    Nimesikitishwa na taarifa niliyopewa na jamaa mmoja aliyekopa kwenye hizi application zinazotoa mikopo kama hawa SWIFT FUND LOAN huenda hawana nidhamu, pia wanao waajiri ni vijana wasiojua namna ya ku handle wateja wao. Jamaa anasema walimdai kwa matusi siku 2 kabla ya deadline ya kulipa mkopo...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni kutokea China. Nomba mwenye uelewa wa manunuzi mtandaoni anijuze

    Wakuu habari, Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe. Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tovuti yenu mtandaoni haifunguki, sasa wanachama wanapataje taarifa?

    Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024. Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi. Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…