Mtandao Judiciary mnazingua sana! Mtandao haupatikani, nyaraka zina 'limitation of time' na hawapokei 'hard copies'

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,454
19,232
Mahakama wanajifanya wapo vizuri kimtandao, wanataka nyaraka zote tusajili mtandaoni, lakini shida, mtandao wao upo low na tangu asubuhi haupatikani, na wametoa maelekezo hakuna kupokea hard copy.

Ajabu yake baadhi ya nyaraka tunasajili ziko na limitation of time na hawapokei hard copies.

Kwanini hawakuweka option as a remedy kipindi mtandao haufanyi kazi? Wanaingia kichwa kichwa kwenye matumizi ya mtandao kabla hawajajijenga kiuwezo na kiutendaji?

Ni chukizo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom