mtaani

  1. JamiiForums Tanzania KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  2. JamiiForums Tanzania Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana Jikomboeni! Msikubali Kuishia Mtaani – Njooni Nifungue Akili Zenu, Life Haikosi Hope!

    Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana Acheni Mchezo wa Mtaani, Jela Haina Netflix!

    Yo my Gs, listen up real quick! Hii dunia tunayoishi sai, si kama zamani. Mchezo umebadilika, na kama hujaamka, unaweza kuishia kujichimbia kaburi ukiwa bado kijana. Bro, wanawake siku hizi sio wote ni fair game—some got traps set like landmines, ukikanyaga tu, boom! Kesi ya ubakaji juu yako...
  6. JamiiForums Tanzania HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu?

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  7. JamiiForums Tanzania HESLB na serikali, mnatuchezea kama maboy wa mtaani – acha ujinga wenu

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  8. JamiiForums Tanzania System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!

    Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali. Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
  9. JamiiForums Tanzania System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!"

    Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali. Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Biomedical engineer aliyepo mtaani Hana ajira?

    Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
  11. T

    JamiiForums Tanzania PSRS mtaua vijana mtaani, toeni ajira

    Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  13. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

    G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani. Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi...
  15. JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanaopita mitaani na vigoma na masinia kuomba hela wanajengewa maadili gani!?

    Sijui ni mafundisho ya dini au ni namna tu ya kujibwwteka nakerwa sana na huu utaratibu wa vijana wa umri mdogo wanaopita mitaani wanapiga vigoma na kuomba hela na ni bahati mbaya watoa hela nao hutoa vimiamia tu. Kwa hiyo unakuta mle kwenye sinia ama ungo kuna vimiamia vingi kweli. Kwa mtazamo...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu ,Hali si shwari mtaani

    Maisha ni magumu wazee, Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka. Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka. Picha inaeleza Mengi. Source ITV.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar tu:- Je umeshawahi kusikia au kuhudhuria msiba wa Mmasai hapo mtaani kwenu?

    Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini. Hakika...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iatamie wahitimu wenye ujuzi kwa rasilimali wezeshi mtu mmoja mmoja na si vikundi chini ya usimamizi ya timu ya wataalamu wa halmashauri.

    Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi. Hivyo n wakati sahihi sasa kwa serikali kuja na mpango kabambe wa yenyewe kuwa msimamizi mkuu wa vijana...
  20. JamiiForums Tanzania Leo hii Jean Baleke ni wa kucheza Samia Cup ya Mtaani yenye Uwanja Mita 50?

    Kwani Yanga SC kama hamumtaki mnashindwa nini kumlipa tu Fedha zake ili arejee Kwao Kisangani akatunge Nyimbo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…