Maisha ni magumu ,Hali si shwari mtaani

Maisha ni magumu ,Hali si shwari mtaani

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,638
Reaction score
18,910
Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.

Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.

Picha inaeleza Mengi.

Source ITV.
 
Attachments

  • 20250329_143345.jpg
    20250329_143345.jpg
    144.4 KB · Views: 35
Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.

Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.

Picha inaeleza Mengi.

Source ITV.
Hatari Sana. Namuona Hadi traffic amekinga dumu lake naye anataka atiliwe mafuta🤔
 
KTK JAMII YENYE MAISHA MAGUMU NI POLISI.HAO HAO WANASAIDIANA NA CCM KUPORA UCHAGUZI.CCM hyo hyo ndyo inawafanya wawe na maisha magumu wanalipwa laki 4 kwa mwezi wanaish kwenye kotaz iliyoch6ka mbavu za mbwa baada ya kustaafu wanakuwaga vichaa nakufa kwa presha.POLICE NI SAWA NA KARAI INAYOJENGA GOROFA THEN HAINA SEHEMU YAKUKAA KWENYE HYO GOROFA.Hayo ndyo maisha ya polis vs ccm
 
Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.

Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.

Picha inaeleza Mengi.

Source ITV.
 
Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.

Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.

Picha inaeleza Mengi.

Source ITV.
Aliyepiga picha hii ana roho mbaya sana,Dada wa watu amekamatwa na huenda akapoteza kazi.
Laana ziwe juu yako mpiga picha iwapo yeye na wanaomtegemea watateseka.

Ningekuwa Rais wa nchi hii,ningemsanehe huyu askari kwani ugumu wa maisha upo hata kwa watumishi wengi wa serikali ukiondoa wale wachache walioruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao ambao kila mwaka CAG anariopoti mabilioni hayajukikani yalipo
 
Hujawahi kuingia 18 za hawa watu, siku ukiingia hutawahurumia tena
 
Back
Top Bottom