mtaani

  1. N

    Hakuna Shamra shamra za uchaguzi mwaka huu hapa mtaani kama miaka mingine kulikoni

    Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
  2. A

    Wanandoa waliouawa kwa kuchinjwa waagwa kwenye makazi yao Bonyokwa, difenda ikikatiza mtaani

    Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam. Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
  3. Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  4. Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  5. R

    ELIMU YA MTAANI: Tusubiri mpaka Polisi wafike eneo la tukio au tumuwaishe hospitalini??

    Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani. Ila baada ya kumtazama vizuri mnagundua kuwa huyo mtu anatiririka damu nyingi sana lakini hajafa. Sasa hapa...
  6. Huku mtaani kwetu, Gwajima kaibuka kuwa shujaa wa Taifa

    Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani. Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na pale kanisani kwake Ubungo Gwajima Mmoja ana mbinu zaidi ya askari buku. Gwajima hakika ni Master of...
  7. Mshangao! Nimetongozwa na mwanamke mtaani

    Wanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa sana aisee na nikabaki kinywa wazi kwa mshangao aisee Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa...
  8. KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  9. Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  10. R

    Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  11. Vijana Jikomboeni! Msikubali Kuishia Mtaani – Njooni Nifungue Akili Zenu, Life Haikosi Hope!

    Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka...
  12. Vijana Acheni Mchezo wa Mtaani, Jela Haina Netflix!

    Yo my Gs, listen up real quick! Hii dunia tunayoishi sai, si kama zamani. Mchezo umebadilika, na kama hujaamka, unaweza kuishia kujichimbia kaburi ukiwa bado kijana. Bro, wanawake siku hizi sio wote ni fair game—some got traps set like landmines, ukikanyaga tu, boom! Kesi ya ubakaji juu yako...
  13. HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu?

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  14. HESLB na serikali, mnatuchezea kama maboy wa mtaani – acha ujinga wenu

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  15. System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!

    Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali. Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
  16. System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!"

    Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali. Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
  17. Hivi Kuna Biomedical engineer aliyepo mtaani Hana ajira?

    Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
  18. T

    PSRS mtaua vijana mtaani, toeni ajira

    Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
  19. Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  20. Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…