mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto aliyepotea kwao asema alifanywa ombaomba mtaani

    Mtoto Patrick Dickson ambaye alipotea kwao kwa siku kadhaa mwanzoni mwa mwezi huu Mei 2022 amepatikana na kusimulia kuwa alikuwa akitumikishwa katika kazi ya kuombaomba mtaani pamoja na kuvutishwa sigara. Mtoto huyo ambaye alipatikana Mei 23, 2022 amesema: “Siku ya kupotea kwangu nilitoka...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana waliohitimu Kidato cha Sita ni muda sahihi kukaribishwa mtaani

    Habari wanajukwaa. Naona tumeomgezeka kundi lingine la watu wazima mtaani wameingia. Wakaribishwe ni wageni huku Mana walizoea shuleni kubanwa na nyumbani. Wakishaingia chuoni waweza mpangia nyumba nzima ukalala naye mpaka asubuhi Mana before alikuwa anaonja bata anaogopa kuwa atachelewa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya shule ifundishe maisha halisi Ili kumfanya mwanafunzi kuyamudu maisha pindi arudipo mtaani

    Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira. Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwani kimetokea nini huko Chamazi? Mtaani mashabiki wa Simba wanatembea na mawe.

    InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
  5. JamiiForums Tanzania Taja kitu kilichopanda bei mtaani kwenu, Mimi nitaanza...

    Habari! Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya. Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2. Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana mnaishije huko mtaani wakati hamna ajira wala hamjajiajiri?

    Jamani hali ya ajira si shwari, kuna watu wamesugua benchi miaka zaidi ya mitatu achilia mbali wale junior jobless, huku hawana ajira wala hawajajiajiri😓😓😓 Inasikitisha sana hii hali ndani ya nchi yetu. Hebu tujuzane, ni mbinu gani mnaitumia kuendelea ku-survive?
  7. JamiiForums Tanzania Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

    Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku Ipoje hii
  8. JamiiForums Tanzania Maelfu ya 'Jobless Graduates' wanaishije mtaani miaka yote?

    Habarini ndugu zangu. Ukiwa Chuo unawezeshwa na wazazi au Bodi ya Mikopo kwa ajili ya malazi, chakula, mavazi na mengineyo mengi, na hivyo kupata hadhi/status ya kuonekana kweli kijana wa Kitanzania.Kuna vijana hujibana na kununua mpaka simu, vitu vidogo vya ndani na mwishowe wengine hupata...
  9. JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima rasmi mtaani leo

  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya wizi mtaani tofauti na awamu iliyopita. Je, chanzo ni nini?

    Kwa maeneo niliyopo, kusemaukweli awamu iliyopita kulikuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa. Vijana wengi walihofia kuwekwa ndani na hivyo kujiepusha na matukio ya uhalifu. Wengi wao walijishughulisha kwa bidii kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogondogo (machinga) ufundi na kazi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa sana alilolifanya Rais Samia la kusema vitu vitapanda bei hadharani linazidi kutugharimu sana mtaani!

    Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa mtaani wa Arusha

  15. JamiiForums Tanzania Vijana wanaomaliza kidato cha nne wanakaa sana mtaani

    Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma. "Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa aelezea Ligi ya Vipaji ya Samia ambayo itafanyika Mtaa kwa Mtaa, Kijiji kwa Kijiji, Nchi Nzima

    SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO Tarehe 24/3/2022, DODOMA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameelezea dhamira yake ya kuleta mageuzi makubwa katika Tasnia za Utamaduni, Sanaa na Michezo...
  18. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Sheria Mtaani: Kufanya kazi za ndani nyumbani ni jukumu la mume siyo mke

    Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria. Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari: Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
  19. JamiiForums Tanzania Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

    Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii. Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo. Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua. Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ukitumia ugonjwa kuombaomba fedha mtaani, adhabu ni jela miaka 3 au faini Milioni 5

    Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa. Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…