mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Uswahilini kumeoza, ndugu yangu alizomewa mtaani kisa kakataa 'tigo'

    Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu. Sasa siku moja tulikuwa tunapita mtaa wa pili kwa mguu nikashituka kusikia wadada wawili watatu...
  2. JamiiForums Tanzania Nape kama kura zipo mtaani na siyo kwenye mitandao mbona huwa mnazima mitandao?

    Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi? Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao? Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi...
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

    Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza. Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga ni kama ule mti wenye matunda mtaani

    Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na wachache wakiiandika kwa mazuri. Lakini lengo lao kubwa kupata attention. Kuna wengine hawana hoja kutwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake; uko huru kutembea peke yako mtaani wakati wa mchana au usiku?

    Wakuu, Kila mtu anapenda akitoka kwenda mahali fulani ajisikie salama na awe huru kutoka sehemu moja au nyingine bila bugudha yoyote. Hii ni changamoto kidogo kwa wasichana/wanawake wanapotoka kwenda sehemu mbalimbali iwe ni kwaajili ya kutafuta riziki au mtoko wa sherehe, huku wakati wa usiku...
  6. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa wana-CCM mtaani wadorora pakubwa

    Ule ujasiri wa wanaCCM mtaani kuitetea Serikali na mamlaka zake kwa mbwebwe na majigambo kwasasa unaonekana umepungua na ni dhaifu na wa kiwango cha chini sana. Ni kama vile haupo kabisa. Hii ni kutokana na upinzani mkali kutoka kwa wannanchi katika mambo kadhaa muhimu mathalani suala la Dipi...
  7. JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu mwenye uwezo wa darasani (aliyesoma) anauwezo wa kupambana mtaani hadi kumzidi ambaye hakusoma?

    Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba. Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbona sisikii shamra shamra za Women's World Cup mtaani kwangu na Tanzania nzima kwa ujumla?

    Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
  10. JamiiForums Tanzania Watumishi hawatuhamishi sisi wa mtaani

    Inakuwaje tarehe za mwisho wa mwezi foleni ATM ni kubwa kuliko kawaida, foleni ina almost mita 50 aisee. Yaani mtu hadi unahairisha kutoa unaenda zako kwa wakala. Hivi kwa mishahara hii kiduchu tutatoboa kweli. Tujitahidi kutafuta financial freedom. Mshahara inabidi usitoke pale unapowekewa...
  11. JamiiForums Tanzania Bodaboda za CCM zenye "chata" ya Samia ziko mtaani

    Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa. CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nilichezewa na wanga kijiji cha Chiuta mpaka wachawi wenyewe wakawa wananicheka tukionana mtaani!

    Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆). Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ninavyofaidika na uzalishaji wa hizi bidhaa nilizojifunza mtaani kuliko Elimu yangu lakini tatizo ni kwamba ...

    Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
  14. JamiiForums Tanzania Ngoma ya kinyama sana mtaani zipo chache mno! Showroom za bongo huikuti

    Hii hapa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mahakamani tunatafsiri mkataba, huku nje tutawawajibisha watoke kwenye ofisi zetu

    Mwabukusi amesema watanzania tuna wajibu wa kikatiba wa kulinda rasilimali za nchi hii. Waziri Masauni na Nape waache kutisha watu, na kwamba yupo tayari kupambana nao kisheria, akisema kuwa mkataba ni wa kijambazi, hataruhusu aina hii ya mkataba kufanya kazi nchini. Mwabukusi ameongeza kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rate ya wanachuo mtaani ni kubwa, Wazungu njooni mtuajiri

    ...
  17. JamiiForums Tanzania Hongereni ma hustler wote mtaani mnaojituma vyema

    Habari zenu wapambanaji wenzangu wote .. Dhumuni la uzi huu nikuwapongeza wote vijana na watu wanzima mnaopambana kwa nguvu zenu wenyewe bila msaada kwa ndugu za marafiki. Kweli hali ni ngumu sana ila tusikate tamaa maana matunda yapo mbele nayaona kabisa.. Tusikate tamaa tupambane mpaka...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

    Huku kitaa watu hawaelewi kabisa. Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari. Ushauri. Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
  19. JamiiForums Tanzania AzamPesa ipo poa sana, bei zipo chini, ila kwanini SSB hawaweki mawakala wengi mtaani?

    Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao 💔 hawana mawakala kabisa? Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa Usafi Kata ya Mbuyuni - Morogoro haonekani, hali ya uchafu ni mbaya mtaani

    Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro. Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…