mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Tunaoishi mikoani wengi tunaishi kwenye vijiji maana mtaani unajulikana kila kitu

    Dar ndo mkoa wa kipekee unaishi na mtu nyumba moja ila mnakutana weekend tu maana kila mtu anatoka alfajiri anarudi usiku. Ila mikoani huku unaishi na watu wanajua kila kitu kukuhusu mtaani kila kukikucha unakutana na maneno mapya mixer kusengenyana.inshort mikoani huku mitaani ni kama tuko...
  2. JamiiForums Tanzania Tunayaona Mtaani: Mwanaume Bora kuzeeka ukiwa single kuliko kuteseka uzeeni kwa kuoa mafisi ama tumbili

    Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno. Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili. Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila...
  3. JamiiForums Tanzania Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

    Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe. Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

    ok
  6. JamiiForums Tanzania MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

    Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake
  8. JamiiForums Tanzania Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  9. JamiiForums Tanzania Mtaani kuna vibaka, serikalini kuna majambazi!

    1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu, 2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari...
  10. JamiiForums Tanzania BoT yasema Noti za Tsh. 10,000 zimeongezeka mtaani hadi Tsh. Trilioni 6.3

    Ripoti ya Dondoo za Takwimu za Robo mwaka inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha ongezeko kubwa la thamani na mzunguko wa noti ya Sh10,000. Ufuatao ni mwenendo wa thamani ya mzunguko wa noti za Sh10,000 mtaani. Desemba 2018 ➡ Sh3.6 trilioni Desemba 2019 ➡ Sh4 trilioni Desemba...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Pepsi imeadimika mtaani? Je chanzo ni umeme, maji na sukari?

    Pepsi imekuwa adimu sana mtaani, hapa Dar es Salaam na viunga vyake. Chanzo ni nini? Bila Pepsi baridi sana jiji linaboa na hili joto lake.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?

    Hali ni mbaya mpaka kitunguu nacho bei juu Tuambie hapa bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

    Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana...
  14. JamiiForums Tanzania Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

    Huku mtaani kuna vipanya fulani hivi vina pua ndefu na mlio mkali sana vikilia utadhani ni mtu anasugua chuma. Cha ajabu hivi vipanya ukitega kwenye mtego kikanasa panya mwenzake akija kukikuta hapo anamla utumbo na nyama laini zote za ndani ngozi anakuachia hapo. Kingine hawa panya hata...
  15. JamiiForums Tanzania Erick Shigongo: Hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani

    "Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu...
  16. JamiiForums Tanzania Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

    Kwema Wakuu! Sijui anatumia uchawi gani. Sijui anatumia mbinu gani za kimedani. Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja. Kama ni riadha za siasa tunasema Makonda angeshatangazwa ndiye Mshindi kwa sababu tangu aingie kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Sukari yaanza kuuzwa kama Bangi mtaani

    Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo. Waandishi wa Mwananchi wamebaini baadhi ya maduka yanauza bidhaa hiyo kati ya Sh4,000 hadi 5,000 kwa kilo kwa wateja...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna Vijana kero ya paka na kunguru mtaani tukaifanya kuwa ajira ya muda wakati tunajitafuta?

    Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie! Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana! Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimemjua na kuanza kumuona Mwenyekiti na Diwani wa Mtaani kwetu

    Salaam ndugu zangu, Nimekaa mtaani kwetu hapa takribani Miaka mitatu lakini sikuwahi kumjua Wala kumuona Mwenyekiti Wala Diwani wa Mtaani kwetu. Tumekuwa tukipata shida za Maji, changamoto za kijamii lakini daima sikuwahi kumuona. Lakini Mwaka huu tangu uingie nimemuona zaidi ya mara tano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…